Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 38,268
- 76,904
Mh kuna wacheza mpira wachache sana unaweza sema wanatumia miguu yote na ikawa hivyo mfano Dembele wa Barcelona. Kipimo cha kujua dominant leg angalia mchezaji akiwa anadribble anatumia mguu wa upande upi.Tomiyasu anacheza namba zote za Beki,
Anatumia Miguu yote ,Ndio maana Hadi LB anacheza vzr tu
Tomiyasu hutumia mguu gani? Dembele anadribble kwa miguu yote with accuracy, mashuti miguu yote.
Tomiyasu akicheza LB wakati yeye dominant leg ni right inakua rahisi kumzuia winger mwenye mguu dominant wa kushot kucut in na kushut. Ndiyo maana aliwekwa LB ile siku na liva na Salah akaonekana hana anachofanya.
Tomiyasu anaweza kua CB na RB huko LB ni tactical issues tu.