Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

[emoji3578]| @JackRosser_:

“Arsenal are considering a January move for Palmeiras star Danilo to keep their Premier League title tilt on track. The Gunners have previously discussed a £22million move for Danilo and are ready to return for further talks next month.” [@SunSport] #afc
 
“I’ve watched ‘All or Nothing’ (Arsenal series on Amazon Prime). I love Mikel Arteta.”

- Spain national team coach Luis Enrique

(@GSpanishFN) https://t.co/L9KXOWIWsn
IMG_20221123_084811.jpg
 
Mashabiki maandazi mnasumbua Sana, mnadai Baada ya world Cup Arsenal atapoteana sababu ya injuries, na kuchoka wachezaji wake walioenda world Cup ,

Hapo hapo unakuja kufurahia kutowaona wachezaji wa Arsenal world cup , huoni kuwa hiyo Ni faida kwa Arsenal?

Sisi wahafidhina tunataka wachezaji wetu ikiwezekana wasifike mbali watoke mapema na timu zao ,ili waungane na wenzao Dubai , Tarehe 27 wawe fresh kuendelea kutoa dozi


Wewe unayefurahia wachezaji wako kwenda 15,16,17 una risk kubwa Sana ya kupata injury, plus fatigue

Kumbuka walikuwa wanacheza mechi kila Baada ya siku 3,
 
Ila Lucho nae bonge la kocha aisee, Kuna cycle flani ya makocha wa kispain wenye character/idea za Pep ,Pep akiwa Kama Idol wao , aisee wanajua soka,Wana mbinu

Jana Mechi ya Spain ,ukiangalia Lineup Rodri aliwekwa CB , ila ndani anacheza Kama Kiungo, Yale Yale ya kina Arteta ,Zinny LB ndan anacheza Kiungo,

Sasa ndan ikawa Rodri na Bosquet wanakuwa Viungo , Pedri na Gavi wanasogea juu wanatengeneza Rectangle shape

Bhana weee!! Zinapigwa pass Kama mvua ,unafanyiwa Overload kila eneo

Mechi nzima zilipigwa Pass 1045

Hivi Kuna Mechi zimewahi pigwa pass nyingi kiasi hichi?

Halafu hawategemei lazima uwe na CF ili upate magoli,

Ukiona timu yako inalialia eti lazima mpate CF wakusimama ili mshinde Mechi ,ujue bado mnasafari ndefu ....


Yule Gavi Ni fundi sana ,sio overrated Kama wengi wanavyosema ,yule Bellingham Sasa ndio overrated (utakuja kunielewa baadae)

Luis Enrique Martinez (Lucho) anajua
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom