hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,661
- 27,519
Bukayo Saka ameshacheza kama LB,LWB,LW,RW,AM.
Wakati anacheza LB alicheza vizuri mno, Alphonso Davies alimtaja kama miongoni mwa FB watano bora dunia kwa wakati ule.
Respond ya Saka baada yakukosa ile penati Euro2020 inakuonesha ni mchezaji wa aina gani.