Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

nyie £65m si mnaona ni nyingi?
Endeleeni kusubiria hivyohivyo kama mlivyokua mnasubiria kwa Martinez.

Kwa Mudryk nina uhakika dirisha dogo likifunguliwa tu kuna timu kubwa zaidi ya 4 zitakua zinamgombania.
Tatizo lenu nyie sajili zenu mnazifanya zaidi mdomoni halafu mezani hamna kitu.
Ila msijali mkimkosa Mudryk sisi tutawapatia Ronaldo tena bureeeee.
 
Mke wa Oleksandr Zinchenko, Vlada, amefanya mahojihano na Mykhailo Mudryk

Je, unapenda nini kuhusu Arsenal ya sasa? Mudryk -

"Timu yenye nguvu...... sio tu kumiliki mchezo lakini kufunga mabao."

Ni timu gani zinazocheza soka zuri na unapenda kuzitazama ?

Mudryk -

"Napoli,Bayern,City na Arsenal. Naitazama Arsenal kila inapocheza"

"Moja ya mambo ambayo sikuyatarajia ni jinsi mashabiki wengi wa Arsenal wanavyoniandikia meseji.

Hakuna klabu nyingine iliyoniandikia kabisa.

Kuna mashabiki wengi sana ambao wananisubiri. Mashabiki wengi wa Arsenal katika jumbe za moja kwa moja wakiuliza nitakuja lini" -

Mykhailo Mudryk Kuhusu kwenda madrid kukaa Benchi au Arsenal kuanza...

" ningechagua Arsenal"

Vlada Sedan (mke wa Zinchenko) anahitimisha mahojiano hayo kwa kusema kwamba anatumai atakutana na Mudryk chini ya "hali tofauti" na anamaliza kwa kusema "COME ON YOU GUNNERS"

(Also says this is not info but her wish)

IMG-20221114-WA0027.jpg
 
Vlada (mhoji):

‘Je,ni matarajio kucheza kwenye na Zinny Myukreni mwingine, yanakutia moyo pia?’

Mudryk: ‘Ndio,
 
Yaani Chelsea katumia £300m

Man u £250m

Liverpool kasajiri CF kwa €80m

Totenham katumia £150m

Forest katumia £155m

Wolves katumia £140m

WANAKUWAJE TIA MAJI TIA MAJI
usajili sio guarantee ya kuwa na timu bora. Mufano sisi Chelsea tunahitaji muda ili kuijenga timu vizuri. Ninyi maarse8 kwa sasa muko kwenye Killeen chenu cha kuelekea mafanikio. Musipoyapata ndani ya huu musimu basi mutakuwa na wakati mugumu sana hapo msimu kesho. Angalia msimu ule ambao mulimaliza nafasi ya pili nadhani nyuma ya Leicester. Baada ya apo nib kiliwapata? Mulipoteana😒😒😒😒
Sahihisha makosa yenu.
 
Barcelona want Tielemans but Arsenal is willing to bid hard for him. Mikel Arteta is a fan. In England they say there is already an agreement for the player to come to Arsenal next summer.

(@ferrancorreas ) to

Umekuwa mkweli kitu Kama hujui unasema sijui
Hahaha hapana siku hizi nimeacha mambo za kujaribu kumuelewesha mtu vitu.

Yaani nianze kuuliza mechi ipi Tomi kaanza LB wakati wote tunajua ni ipi na bado mtu anasema huyu kacheza LB mechi nyingi msimu huu mi nikae nakuelewesha?

Tomi anakuja Arsenal mimi ndiye nilipoint kwamba jamaa ni natural CB hatutakua lethal kushambulia kutokea kulia ila tutadefend vizuri.

So hizi mambo za kuandika sana nimeachana nazo siku hizi naingia namuulizia Ollashoga na lembua wako wapi najiondokea.
 
Asilimia 60% ya mechi za Japan anatumika kama LCB au LB before hajacheza arsenal.

Yes siyo dominant kwa huge ambidextrous % kufikia Cazorla na Dembele lakini ni above Lallana, Perisic, Pedro na Jota.
Sijamfuatilia huko nilimcheki akiwa Fiorentina ambako alikua ni RCB
 
Hahaha hapana siku hizi nimeacha mambo za kujaribu kumuelewesha mtu vitu.

Yaani nianze kuuliza mechi ipi Tomi kaanza LB wakati wote tunajua ni ipi na bado mtu anasema huyu kacheza LB mechi nyingi msimu huu mi nikae nakuelewesha?

Tomi anakuja Arsenal mimi ndiye nilipoint kwamba jamaa ni natural CB hatutakua lethal kushambulia kutokea kulia ila tutadefend vizuri.

So hizi mambo za kuandika sana nimeachana nazo siku hizi naingia namuulizia Ollashoga na lembua wako wapi najiondokea.
Hapo unatupanga,inabidi utetee hoja yako, Sasa hapa unawezaje kusema umeacha kumuelewesha Utakuwa mtu ,ikiwa ukweli upo wazi , Tomiyasu akiwa bolgna amecheza Kama RB mechi kibao ,alikuwa anamkamia Sana CR7 wakikutana na Juve, Japan amecheza nafas Zote za Beki unazozijua ,

Ukisema umeacha kuelewesha ,unatupanga ,unatakiwa ukubali kitu Kama hukijui
 
Hahaha hapana siku hizi nimeacha mambo za kujaribu kumuelewesha mtu vitu.

Yaani nianze kuuliza mechi ipi Tomi kaanza LB wakati wote tunajua ni ipi na bado mtu anasema huyu kacheza LB mechi nyingi msimu huu mi nikae nakuelewesha?

Tomi anakuja Arsenal mimi ndiye nilipoint kwamba jamaa ni natural CB hatutakua lethal kushambulia kutokea kulia ila tutadefend vizuri.

So hizi mambo za kuandika sana nimeachana nazo siku hizi naingia namuulizia Ollashoga na lembua wako wapi najiondokea.
Hujaacha kuelewesha,unatakiwa ukubali nilikuwa sijui ,hutapungukiwa kitu

Tomiyasu Ni versatile katika Miguu yote, Arteta aliwahi kusema hili

Akiwa Bolgna amecheza Sana RB ,hivo unapodai Ni natural RCB tunakuona mzushi,

Akiwa Bolgna kacheza mechi 63-64 TU

Mechi 41 kacheza RB

Mechi 20 kacheza RCB & LCB

mechi 2 LB

National team kacheza hizo nafasi Zote

Akiwa arsenal had Sasa kacheza RB & LB idadi ya mechi hazitofautiani

Msimu huu amekuwa Alhamis Europa anakamua RB

Wikiend EPL anakamua LB

Screenshot_20221115-091917~2.jpg
 
Sijamfuatilia huko nilimcheki akiwa Fiorentina ambako alikua ni RCB
Hajawahi kucheza fiorentina ,Ni bolgna
Msimu huu akiwa Arsenal kacheza Hadi Sasa mechi 17

Mechi 6 Kama LB

Mechi 11 RB

Hivo ulivyodai alicheza mechi 1 dhidi ya Liverpool tu sababu ya tactical reason ,Ni wazi huenda huangalii mechi au unafatilia kwa liverscore
 
Interview ya Mykhailo Mudryk na Vlada Sedan (mke wa Zinchenko) imekaa kimkakati sana, Bibie kuna namna anataka kijana atue kaskazini mwa London (Arsenal). View attachment 2416674
Zinchenko pia anatakiwa awe makini sana, kwa hizi shobo za Vlada kwa Mykhailo hazina dalili nzuri, muda sio mrefu Zinchenko atagongewa mke wake.
Screenshot_20221115_093131.jpg
 
Back
Top Bottom