Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

𝐒𝐚𝐦𝐢𝐫 𝐍𝐚𝐬𝐫𝐢:

Pep alipokuja Man City, alifanya mabadiliko kwenye kikosi na baadhi ya wachezaji hawakufurahi. Alituuliza, "Je, Messi yuko hapa?" Tulimwambia, "Hapana." Alisema, "

Basi hakuna mwenye haki ya kuzungumza kwa sababu Messi ndiye mchezaji pekee ambaye siwezi kumuweka benchi"
 
Ratiba yetu Baada ya World Cup

Sioni wakutoa hata sare hapa

Sijaona timu hapa inayotuzidi kumiliki mpira ,

Ukiweza kumiliki mpira Basi 80% una uhakika wakushinda mechi .

Arsenal msimu huu kila Mechi karibu zote tunapiga pass 500+ iwe away au home,

Timu zinazocheza Low block Ndio tunazitaka

Ukibisha naweka Msimamo
IMG_20221114_113730.jpg
 
Ratiba yetu Baada ya World Cup

Sioni wakutoa hata sare hapa

Sijaona timu hapa inayotuzidi kumiliki mpira ,

Ukiweza kumiliki mpira Basi 80% una uhakika wakushinda mechi .

Arsenal msimu huu kila Mechi karibu zote tunapiga pass 500+ iwe away au home,

Timu zinazocheza Low block Ndio tunazitaka

Ukibisha naweka MsimamoView attachment 2416204
Ratiba yetu mwaka huu imekaa utamu Sana aisee

Hapo wote hao Ni timu zakukaa nyuma tukikutana nao ,

Nimewangalia westham , Spurs ,wote Hawa Ni Kama wolves mabeki watano

Man u , Emirates atapaki Basi ,

Newcastle ,tough game ,watakuja Emirates Sion wakichomoka ,

Baada ya hizo mech 5

Anabaki Chelsea anayekuja home , mancity mech 2 na Liverpool away

Mechi mbili za mancity na Liverpool away ,Hizi Ndio mechi 3 zenye Ubingwa

Katika Hizi point 9 iwapo tutavuna points 5-7 shughuli itakuwa imeisha
 
Edu:"

Asilimia mia moja. Sitawahi kusajili mchezaji ambaye Mikel hafurahii naye, kamwe.

Huo sio mtindo wangu na kwa hakika sio mtindo wa Arsenal."

Tutasajili wachezaji kulingana na mahitaji yetu ya ufundishaji(style of play) na si vinginevyo
IMG_20221114_114312.jpg
 
Ratiba yetu Baada ya World Cup

Sioni wakutoa hata sare hapa

Sijaona timu hapa inayotuzidi kumiliki mpira ,

Ukiweza kumiliki mpira Basi 80% una uhakika wakushinda mechi .

Arsenal msimu huu kila Mechi karibu zote tunapiga pass 500+ iwe away au home,

Timu zinazocheza Low block Ndio tunazitaka

Ukibisha naweka MsimamoView attachment 2416204
kwa ratiba hio halafu hapo bado mna TBC na Man City pamoja na Evarton.

#Ngoma ya watoto haikeshi.
 
kwa ratiba hio halafu hapo bado mna TBC na Man City pamoja na Evarton.

#Ngoma ya watoto haikeshi.
Unamuhesabia everton, Westham,Spurs ,man u , Hawa si Kama wolves tu ,timu za kukaa nyuma zikikutana na arsenal

Mwaka Jana pale Emirates ,man city alikuwa outplayed tukinyimwa na penalty juu, kabla arsenal hajapata red card ya mchongo,

Arsenal vs city Hizi mech 2 ndio zitaamua Bingwa
 
Garth Crooks🙁Mchambuzi)

“Wiki iliyopita ni Saliba aliyepokea sifa kwa kufanya vyema dhidi ya Chelsea. Hata hivyo, dhidi ya Wolves, Mfaransa huyo alionekana kuwa mnyonge kidogo na alihitaji Gabriel amsaidie katika Hali hiyo.

Daima ni ishara nzuri kwamba, wakati mchezaji mmoja ana wakati mgumu, mwenzake anaweza kuinua mchezo wake na kumfichia madhaifu.

Kando na uchezaji wa Gabriel, safu ya ulinzi ya Arsenal ndiyo nguvu ya mafanikio yao.”
IMG-20221114-WA0007.jpg
 
The club wants to back Arteta in January . A winger is their priority with Mudryk and Facundo Torres both targets

(@sr_collings )
 
Fabrizio Romano

: "As I’ve said recently, I expect Arsenal could be busy this January because they want to keep building this squad"
 
Official: All of the #Arsenal players going to the World Cup in Qatar:

󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Ben White
󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Aaron Ramsdale
󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Bukayo Saka
Gabriel Jesus
Gabriel Martinelli
Takehiro Tomiyasu
Thomas Partey
Granit Xhaka
William Saliba
Matt Turner
#afc
 
| Simon Colllings kuhusu usajiri wa Arsenal: January

"Klabu inataka kumuunga mkono Arteta katika usajiri (January) ambaye amekitaja kikosi chake kama "Kifinyu", na winga ndio kipaumbele chake, huku Mykhaylo Mudryk wa Shakhtar Donetsk na Facundo Torres wa Orlando City wote akiwalenga"

| Simon Colllings:

"Kwa muda mrefu zaidi, Arsenal pia wanataka kusajili beki wa kati wa upande wa kushoto(LCB) na kiungo mwingine.

Kwa kuzingatia msimamo sasa, kuna hoja ya kuharakisha mipango hiyo na kuongeza nguvu kikosi " #afc

| Simon Colings:

"Winga ni muhimu, kwani Bukayo Saka na Gabriel Martinelli wanahitaji ushindani zaidi, sio kwa sababu watarejea uwanjani kutoka Kombe la Dunia. Arsenal watakuwa na Emile Smith Rowe anayetoka kwenye jeraha kufikia wakati huo, lakini wanahitaji moto zaidi.” #afc
IMG_20221114_114312.jpg
 
Flano Acheni tamaa

SunSport understands United have been tracking Mudryk for a while now, with scouts. Arsenal also believed to be interested. It is unlikely United will go for him in January, after having huge investment in the squad over the past summer.
(@Journo_Slash)

Mh kuna wacheza mpira wachache sana unaweza sema wanatumia miguu yote na ikawa hivyo mfano Dembele wa Barcelona. Kipimo cha kujua dominant leg angalia mchezaji akiwa anadribble anatumia mguu wa upande upi.

Tomiyasu hutumia mguu gani? Dembele anadribble kwa miguu yote with accuracy, mashuti miguu yote.

Tomiyasu akicheza LB wakati yeye dominant leg ni right inakua rahisi kumzuia winger mwenye mguu dominant wa kushot kucut in na kushut. Ndiyo maana aliwekwa LB ile siku na liva na Salah akaonekana hana anachofanya.

Tomiyasu anaweza kua CB na RB huko LB ni tactical issues tu.
Asilimia 60% ya mechi za Japan anatumika kama LCB au LB before hajacheza arsenal.

Yes siyo dominant kwa huge ambidextrous % kufikia Cazorla na Dembele lakini ni above Lallana, Perisic, Pedro na Jota.
 
Flano Acheni tamaa

SunSport understands United have been tracking Mudryk for a while now, with scouts. Arsenal also believed to be interested. It is unlikely United will go for him in January, after having huge investment in the squad over the past summer.
(@Journo_Slash)

nyie £65m si mnaona ni nyingi?
Endeleeni kusubiria hivyohivyo kama mlivyokua mnasubiria kwa Martinez.

Kwa Mudryk nina uhakika dirisha dogo likifunguliwa tu kuna timu kubwa zaidi ya 4 zitakua zinamgombania.
Tatizo lenu nyie sajili zenu mnazifanya zaidi mdomoni halafu mezani hamna kitu.
Ila msijali mkimkosa Mudryk sisi tutawapatia Ronaldo tena bureeeee.
 
Heee.....
 
Back
Top Bottom