Mjusi_kafiri
JF-Expert Member
- May 8, 2022
- 1,016
- 1,878
Pigeni hao Wolves muelekee mbio za ubingwa wa EPL maneno mengi tuachieni sisi Chelsea na kikundi chetu cha wahuniMatokeo mabovu ya man city, yamewaponza sana Wolverhampton
Wolverhampton atapigea kama ngoma
Umuhimu wa kumpita man city tofaut ya points tano ata mtoto wa darasa la pili anaujua
Sasa basi
Arsenal 4 Wolverhampton 0
Arsenal NDOO
haaland kiatu
Safi mkuu, tupo pamojaPigeni hao Wolves muelekee mbio za ubingwa wa EPL maneno mengi tuachieni sisi Chelsea na kikundi chetu cha wahuni
Arse8 nawatakia kila la heri ili mbebe kombe la EPL ionekane ina ushindani, si kila siku Mwa-City abebe yeye EPL...
Jesus hana tofauti na simu iliyoharibika charge system, Pep alivyoona charge yake imefikia 11% akaamua kuiuza, sasa hivi simu ishakua empty haichajiki tena labda mchomoe betri mkalichaji kwenye kobe.Jesus Tunamdai magoli
Uliandika kwamba tutafungwa,sasa hivi umebadilika unamponda Jesus!!!hivi unatumia akili za kichwa kuandika au unatumia makalio??yaani hueleweki unawashwawashwa tuJesus hana tofauti na simu iliyoharibika charge system, Pep alivyoona charge yake imefikia 11% akaamua kuiuza, sasa hivi simu ishakua empty haichajiki tena labda mchomoe betri mkalichaji kwenye kobe.
Sijui tulifeli wapi.Guimaraes tulihusishwa naye.
Ilibidi tumchukue
Mchango wake ni mkubwa.Jesus hana tofauti na simu iliyoharibika charge system, Pep alivyoona charge yake imefikia 11% akaamua kuiuza, sasa hivi simu ishakua empty haichajiki tena labda mchomoe betri mkalichaji kwenye kobe.
hatuna haja na magoli yake, mchango wake mkubwa na wala asithubutu kuanza kusaka goli kwa nguvu atajipa stress atashuka kiwango.Jesus Tunamdai magoli
Unajisikiaje ulivyoandika PUMBA hizi na kilichotokea Uwanjani??akili zako zipo nyuma wewe FLANO sio bure
Mbwa mwitu leo anaenda kujitafunia mbuzi za Arteta.
Na jinsi wachezaji wao walivyoshiba leo unaenda kupigwa mpira wa maguvu maguvu ili kuwatisha wavulana wa Arteta.
Kuna wachezaji leo wanaenda kupasuliwa kongosho.
Partey angekua hayupo na hamna kuhofiaSijui
Sijui tulifeli wapi.
nadhani huo UKUTA umeshikishwa weweAcha makelele Wolves wenyewe ni timu ndogo tena kwenye msimamo inashika nafasi ya 18 lakini leo usiku lazima wawashikishe ukuta mbuzi nyie.