Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Zinny akiwa fit , Midfield inakuwa salama kwenye Control ya game

Jamaa yupo Technically ,kwenye mazingira magumu atatoa perfect pass
IMG_20221102_195323.jpg
 
Smith Rowe returning for the #Arsenal in the New Year will feel like a new signing!


View attachment 2409010
Tatizo dogo kaanza kupata injuries mapema sana sijui kama atafika mbali licha ya ubora alionao ,hata last season kabla ya injury hii kubwa alikuwa hakosi mechi 1 au 2 bila kwenda hospital may be akirudi Mungu amsaidie
 
Hatukuwa na matumaini ya kuwa EPL winners but kwa Top 4 ilikuwa ni suala la lazima kwa sasa tumeachana na top 4 tunatafuta ubingwa na tupo very serious na hilo kwa sasa so let's hope kwa hili
Bila ya kuongeza watu, kombe ni ngumu kubeba. Mbio bado ndefu, tunahitaji wwachezaji kama wawili wa3 hivi, very serious na wamepevuka kisoka.
 
Back
Top Bottom