Acha uongo, soma sheria kwanza kabla haujadanganya umma.
LAW 7 – THE DURATION OF THE MATCH
Allowance for time lost
Many stoppages in play are entirely natural (e.g. throw-ins, goal kicks). An
allowance is to be made only when these delays are excessive.
The fourth offi cial indicates the minimum additional time decided by the
referee at the end of the fi nal minute of each period of play.
The announcement of the additional time does not indicate the exact amount
of time left in the match. The time may be increased if the referee considers it
appropriate but never reduced.
The referee must not compensate for a timekeeping error during the fi rst half
by increasing or reducing the length of the second half.
soma tena nimekuwekea ni sheria number ngapi...! Wakati huo huo nimeuliza katika hizo dakika 8 zilizoongezwa arsenal mlitumia dakika ngapi kuanzia pale Fabregas alipoangushwa, penalty kupigwa, kushangilia, kadi na mpaka mpira kuanza tena?
Acha uongo, soma sheria kwanza kabla haujadanganya umma.
LAW 7 – THE DURATION OF THE MATCH
Allowance for time lost
Many stoppages in play are entirely natural (e.g. throw-ins, goal kicks). An
allowance is to be made only when these delays are excessive.
The fourth offi cial indicates the minimum additional time decided by the
referee at the end of the fi nal minute of each period of play.
The announcement of the additional time does not indicate the exact amount
of time left in the match. The time may be increased if the referee considers it
appropriate but never reduced.
The referee must not compensate for a timekeeping error during the fi rst half
by increasing or reducing the length of the second half.
Haya Twambie chacha hizo excesive delays wakati wamekwisha sema 8 minutes zilitoka wapi? Wachezaji wa Arsenal walikwenda kuwakumbatia mashabiki kwa dakika 4 baada ya goli khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee kama nilivyosema lazima manure warudishe ndio mpira uishe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeee
...mnhh, jamani ee! Hizo sheria na kanuni kamsomeeni sir alex fergie bana.
Halafu?...Torres lini atapata japo goli la kufutia kamasi? Anakaribia 900mins bila goli. The guy was hyped and over valued bana. Au? Kuwa mkweli Peasant.
Poleni wakuu wenzangu, mie niko safarini hata kipindi cha pili nimekikosa na internet barabarani mara inakata mara inarudi .
Tuko pamoja wakuu wakina manda wasifikiri nimekimbia lol.
Yaani mkuu we acha tu, huwa tunaanza vizuri halafu tunamaliza vibaya sana.Poleni wakuu wenzangu, mie niko safarini hata kipindi cha pili nimekikosa na internet barabarani mara inakata mara inarudi .
Tuko pamoja wakuu wakina manda wasifikiri nimekimbia lol.
Yaani mkuu we acha tu, huwa tunaanza vizuri halafu tunamaliza vibaya sana.

Poleni wakuu wenzangu, mie niko safarini hata kipindi cha pili nimekikosa na internet barabarani mara inakata mara inarudi .

Tuko pamoja wakuu wakina manda wasifikiri nimekimbia lol.
Pole ya nini wakati wenzio wanashangilia draw?!!
Lool mkuu unapenda ligi sana. Pole kwa kufungwa jana mkuu.

Unaanza kujitetea ehh?, hahaha! mwenyewe leo was safarin, from huko kwako to jijin hapa...network was all the way...
Polen kwa droo.

Mkuu Ahsante kwa kumaliza mjadala... Ila I must say drama ya dakika za mwisho ilikuwa tamu kuliko kipindi chore regular time.At least four minutes.
Du kaazi kweli, kwa hiyo leo mmechukua EPL? Poa, jitahidini basi mchukue na UCL..... Hee! kumbe na kwenyewe mlishakimbia...Nyie mshazoea kuknyaga mdudu bana.........Yenu ni 7th basi............
Waone kule........Ndio maana hamjawahi kuchukua EPL tangu ianzishwe......lol
Mkuu Ahsante kwa kumaliza mjadala... Ila I must say drama ya dakika za mwisho ilikuwa tamu kuliko kipindi chore regular time.
Haya watani tukutane tena jumanne kwenye jukwaa letu na hapa jumatano.
Lakini refarii katufanyia kitu mbaya sana,Dk 8 za nyongeza,Penalty ya Arsenal 97:36. Free kick ya Liverpool Dk 99,Penalty ya Liverpool 101.Hii sio haki hata kidogo.Yaani mkuu we acha tu, huwa tunaanza vizuri halafu tunamaliza vibaya sana.