MLA PANYA SWANGA
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,186
- 5,450
Manchester City vs Brentford Etihad Mkuu
Sawa hamna shida game ngumu ilikua hii na ishapita sasa kuna asilimia 90 yakwenda WC tukiwa tunaongoza msululu na ndo muhimuManchester City vs Brentford Etihad Mkuu
Leo walikuwa wamekabwa na kuwa wazururaji tu, ila pamoja na majeruhi 8 ya wachezaji wa Chelsea lakini bado Chelsea haina ubora wa kuingia hata top four msimu huu kwa ubovu wa wachezaji iliyonao.
Kila la heri Arse8 maana EPL itakosa ushindani ikiwa Kipara atabeba kombe la EPL zaidi ya mara 3 mfululizoIli kushinda unahitaji timu yenye utimamu pamoja na bahati.
Vyote vimekuwa upande wetu.
Points 3 muhimu pamoja na clean sheet nyingine.
Tafadhali Man City atupishe kileleni
Mwaka huu kuna Muujiza unakwenda kutimia, tuendelee kuwa wavumilivu.
We are Gunners
Nawaona wenye kikosi kipana tumewapanua.Arse8 nawapongeza sana kwa kupata draw. Ila bado muda kidogo mutaanza kumulaumu arteta. Kosi lenu finyu sana
Mkuu ukisema hivyo mimi unanikosea sanaKwa direction hii tunaanza kuelekea kuwa EPL winners wa season hii kitu ambacho no Arsenal fan alitegemea ndani ya season hii tutakuwa hapa tulipo no one knows tomorrow dogo wa Fulham jana kazingua sana but this is football
Ni kweli, ingawa nina wasiwasi na Fatigue iwapo hatutakuwa na wachezaji wa kuwafanyia rotation.Kila la heri Arse8 maana EPL itakosa ushindani ikiwa Kipara atabeba kombe la EPL zaidi ya mara 3 mfululizo
Jesus ni kama magoli yamemkataa hivi,atulie acheze mpira wake, atulie, no stress, no panicking magoli yatakuja yenyewe tu.Hii game tuliwashika ila kwenye kufunga bado hatujawa lethal hususan Jesus sijui kapatwa nanini, ile cross ya martinel ili bodi iwe kamba
Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Inabidi tuwapige Wolves tarehe 12Sawa hamna shida game ngumu ilikua hii na ishapita sasa kuna asilimia 90 yakwenda WC tukiwa tunaongoza msululu na ndo muhimu
Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Pwagu na pwaguziMashabiki wa timu zote Epl wanamkubali na kumsifia kwelikweli Anthony kasoro mashabiki wa Arsenyani peke yao.
Ukichunguza chuki ya mashabiki wa Arsekwa Anthony sababu kuu jamaa ndio alikua mwanaume wa kwanza kuwatoa usichana wao kwenye lile gheto lenye vitofali vya kuchoma.