Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hili dogo ndio maana nàlikubali sana

Na jinsi vilabu vya ulaya vilivyomkata, alafu arsenal wakaona kipaji kwenye miguu yake. Amazing sana
Kama martinel ataondoka basi kwenye miaka 30+. Sio leo wala kesho
Kwa Historia yake aliyopitia ,kukataliwa na man u,Barcelona , kule Italy,akaamua kurudi Brazil , Edu akamwambia tangulia Arsenal nakuja January , Amefika arsenal akathaminiwa

Alishasema yupo Sana Arsenal

Sawa na Smith Rowe Mtoto wa nyumbani alishasema muda wowote Leta mkataba anasaini
 
Mwamba huyu hapa
IMG_20221102_195323.jpg
 
Kwa Historia yake aliyopitia ,kukataliwa na man u,Barcelona , kule Italy,akaamua kurudi Brazil , Edu akamwambia tangulia Arsenal nakuja January , Amefika arsenal akathaminiwa

Alishasema yupo Sana Arsenal

Sawa na Smith Rowe Mtoto wa nyumbani alishasema muda wowote Leta mkataba anasaini
Hiki ndio tunakihitaji zaidi
Yan arsenal akifungwa mimi niliekuwepo buza sitaumia sana kama atakavyoumia martineli, saka, Rowe, saliba, xhaka, zinchenko, Tierney
Hao ni arsenal fans kindaki ndaki,

Ndio maana arteta anasema mtu akilinga hatumbembelezi
Raphina, yule mshambuliaji ambae yupo juve,

Tunahitaji watu wanaotaka kuja kuipambania arsenal,
Magenge ya wahuni ni kule unyumbuni na chelshit

Chelshit anamtoa Werner anamuweka Sterling. Sijui ndio kafanya nini
 
Dr Erkut Sogut (Wakala wa Mesut Özil):

“Ozil hawezi akacheza klabu nyingine yoyote katika EPL, yeye sio kama Aubameyang, anaheshimu muda wake aliocheza ndani ya Arsenal lakini pia anaendelea kuwasiliana na Wachezaji wengi wa Arsenal"

"Yeye na Bukayo Saka wana ukaribu mkubwa na wa kipekee"
FB_IMG_1667414792356.jpg
 
Arsenal are serious about signing 21-year-old Palmeiras defensive midfielder Danilo, who has been subject of extensive scouting. Edu is behind the club’s interest. [@RyanTaylorSport] #afc
kidogo nimejaribu kumuona kama game 4 hivi ni mkabaji mzuri na anajua kupeleka team mbele vzr mno.....shida ni moja tu kuna muda huwa anajizima data anacheza rafu za haovyo mno

anakula sana umeme dogo ila umri wake na uchezaji wake anafundishika na tabia zinabdilika...

mm nimetokea kumkubali kwanza ni mtata sio mnyonge yani yule ni xhaka mara 2 kwenye kuvaa ugomvi
View attachment 2405419
 
Hawa watu ndio wanahitajika,
Usipokua mtata pale dimbani, saliba sio muda mrefu ataonekana lindelof
Gabriel ataonekana magwaya

Kama ulivyosema kwa umri wake, atafundishika

Partey
Mo elneny

Backup ya lokonga haitoshi, michuano bado ni mingi
Ligi, FA, Europe, carabao
 
kidogo nimejaribu kumuona kama game 4 hivi ni mkabaji mzuri na anajua kupeleka team mbele vzr mno.....shida ni moja tu kuna muda huwa anajizima data anacheza rafu za haovyo mno

anakula sana umeme dogo ila umri wake na uchezaji wake anafundishika na tabia zinabdilika...

mm nimetokea kumkubali kwanza ni mtata sio mnyonge yani yule ni xhaka mara 2 kwenye kuvaa ugomvi
View attachment 2405419
Ha haaaaaaa huyo ndo mtamu
 
Dogo wa miaka 17 tayari ana goli la CL kuzidi kikosi chote Cha arsenal ....
mancity-20221103-0001.jpg
 
Hivi bila Arteta kuja Arsenal ,huenda leo Saka angekuwa beki wakushoto akisaidiana na kina Tierney

Martinel angekuwa loan ,au mchezaji machachari tu

Xhaka asingekuwa arsenal

Kiungo tungekuwa na kina Guendouz ,

Nilichojifunza hata Pep anatakaga Kwanza wachezaji wenye kipaji then anawaongezea vitu vya ziada kutoka hapo walipo

Ukiwasikiliza kina Sane, Sterling, Zinny, Jesus ,Kdb, n.k Kuhusu Arteta pale city alivyokuwa anafanya nao kazi ,utaelewa Sio kwa bahati mbaya kuwaona Hawa Watoto kina Smith Rowe, saka , Martinell

Ukiangalia Odegaard aliyekuwa Madrid na sociedad alikuwa talented but alikuwa havutii Sana hata alipokuja mkopo arsenal , alifunga goli 1 Kama sijakosea , Lakini Baada ya mkopo ilionekana hatarudi Tena Arsenal , na hata Alipotajwa ananunuliwa rasmi ,kulitokea mgawanyiko mkubwa kwa fans

But Odegaard huyu Sio Yule Tena

MIAKA MITATU ILIYOPITA TAKWIMU ZA BUKAYO

Bukayo Saka’s stats per position:

•Left wing: 18 games, 2 goals, 5 assists.

•Left back: 16 games, 1 goal, 4 assists, 7 clean sheets.

•Right wing: 5 games, 1 goal, 2 assists.

•Central midfield: 1 game, 1 assist.

His adaptability for an 18-year old is incredible.
IMG_20220917_112626.jpg
 
View attachment 2405711
Hao jamaa wenye hilo bango sio wa rainbow hao, achana nao hao good look inahusiana vip na mpira

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Shakhtar goalkeeper Anatoliy Trubin says it’s now accepted in the dressing room that Mykhaylo Mudryk will be joining Arsenal.

#AFC | "In the team, we can tell him; ‘well, you’re already at Arsenal, let’s all go!’"
 
Mikel Arteta has been nominated for Premier League Manager of the Month for October. #afc
IMG_20221103_151912.jpg
 
Back
Top Bottom