Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tumeponea chupuchupu wikiendi kwa Leeds hivyo kuahirishwa kwa mechi ya man city naona kama ni blessing in disguise. Tungekuwa na wakati mgumu sana kwa city iliyotoka kupoteza.

Tujipange kwa hizi game za kawaida zilizopo mbele yetu mpaka tutakapokutana na Chelsea kama game kubwa ya mwisho before world cup.
 
Haters wa gabby wamekuwa wengi club inapambana kuwapunguza
Let's not pretend kwamba kukosoa mchezaji ni kwamba unamchukia, that's low IQ reasoning

Mfano mimi Will Jr mchezaji ninayempenda kuliko wote Arsenal ni Thomas Partey, lakini namkosoa sababu napenda kuona anaishi kwenye uwezo wake na kipaji mungu alichombariki wala si kwamba ninamchukia, tunapokosoa wachezaji wetu pale wanapokosea lengo ni kuona wana improve cuz wakiwa bora na Arsenal yetu inakuwa bora pia, kukosoa mchezaji anapofanya vibaya si kwamba anachukiwa. The goal is to see improvement, Ex; Huwezi kukuta sahivi naandika Thomas partey this, Thomas partey that cuz i see improvement, game control unaiona na ndio kitu nilikuwa nataka toka mwanzo.

Binafsi Will Jr napenda kukosoa mchezaji pale timu inapofanya vizuri, unapokosoa mchezaji wakati timu inafanya vibaya ni kuua uwezo wake wa kujiamini completely.
 
Mashabik wa bongo wanapenda Kumkosoa mchezaji pale timu ikikosa matokeo, dhidi ya Leeds huyu katuokoa Sana ,but hapewi heshima yake

Arsenal wanaona jins anavyoshambuliwa ,Wamekuwa wakimpambania ,maana tutawatoa wachezaji kujiamini ,pale Emirates mchezaji akikosea ,mashabik ndio wanazidi kumuimba na kumshangilia
 
Arteta will go very strong against PSV on Thursday (game in London so no travel involved - we’ll be fine for Sunday at Southampton) and very strong next week at PSV too (Forest at home on Sunday is kind). Secure 1st place, then rest everyone for Zurich and be fresh for Chelsea.
 
Arsenal vs man city kuchezwa lini?

Given that Arsenal still has four games left this month, as well as four more before the World Cup in November, the match against City is unlikely to take place before the new year.

The Premier League is scheduled for December 26 and 31, leaving no open dates.

That means the earliest opportunity to schedule the match is in January, though it is dependent on a few factors.

If Arsenal advances to the Europa League knockout stages, which appears likely, they will not have to worry about it until February. The same can be said for Manchester City’s Champions League campaign.

However, both teams must keep the FA Cup and Carabao Cup in mind. As of now, Premier League matches are scheduled for January 2, 14, and 21, with the FA Cup third round set for January 7.

The Carabao Cup quarter-finals will be held on January 10 and 11, with the semi-finals scheduled for January 25 and February 1.

If Arsenal and City fail to defeat Brighton and Chelsea in the Carabao Cup third round in November, the aforementioned January 10, 11, and 25 dates, as well as February 1, will become available.

Another possibility is that Arsenal and City make it to the quarter-finals but fail to advance. In that case, for example, only January 25 and February 1 are available.
 
🗣️| Arteta on the Leeds game:

“Yeah, watching it back there were some periods, especially in the 2nd half, where we put ourselves in trouble, then all the decisions that had to be overturned by VAR. It was very tense, we got what we wanted and tomorrow will be a different game.”
 
hi division ya EPL ;naiona kwa awa managers kwnye race ya top 4 msimu wwte ule itanoga sna..

pep

arteta

pochettino

ETH
 
Yaani kuna wachezaji huwa nikiwaona halafu mashabiki wa Arsenal walikuwa wanawalilia na kusema wamepatikana kwa bei che najiuliza sana mfano huyu Bisouma
Ndio maana miaka hii miwili Edu na Arteta sajili zao ni za viwango sio mihemko ya mashabik kabisa

Hawataki Viungo wavunja kuni ,wanataka anagalau uwe unajua kupiga pass kwa usahihi, ku control mchezo,

Bissouma ndio maana Conte anampiga Sana benchi, kuumia kwa richarlson na kuluveski kumemfanya Conte atumie 3-5-2 Viungo WATATU katikati akiwepo Bissouma ,

Wakipona tu anamrudisha Benchi,
 
Huyu ndiye Bissouma watu humu walikuwa wanamlilia?
Sikuwahi kumtamani bissouma ila usiwashangae waliokuwa wanamlilia huenda kuna jambo waliona, hivyo ndivyo mpira ulivyo, kabla ya arteta xhaka alikuwa hapendeki, kaja arteta mambo mukide.. Mchezaji kuonesha au kushindwa kuonesha kunachangiwa na vingi
 
Bissouma Ni mvunja kuni
 
Hao waliomtaka Bissouma Ni wale wasiolewa Arteta timu yake inachezaje ,

Kuhusu xhaka wanaomjua Wala hajabadilika , kamsikilize Arsene Wenger alichowahi kusema Kuhusu xhaka alisema xhaka Ni more advanced CM au box to box,

Alipokuja emery ndiye akawa anamtumia out of position ,hata Wenger kutokana na majeruhi ya Santi cazorla ,n.k alimtumia Kama DM, hapo xhaka alipoteana

Ila xhaka Kama advanced no.8 alikuwa anaongoza had kwa kupiga pass epl ,

Mimi huwa nashangaa Sana nikisia eti xhaka kabadilika ,

Xhaka alikuwa anachezeshwa DM ,nafasi asiyoimudu

Style play ya Arteta inataka DM anayejua kupiga pass na ku control mchezo ,pia uwe press resistant

Kwa sifa Hizi wavunja kuni Kama Bissouma, ndidi, casemiro , Viungo wa namna hii huwez kuwaona hata kwa Pep Guardiola,

Partey mwenyewe alikuwa na sifa hizo ,ilibidi abadilishwe Kwanza ,anasema mwenyewe Partey .
 
Most shots attempted/faced against big 6 opposition (minimum 3 games)

Man Utd - 63/64
Arsenal - 49/24
Liverpool -38/40

Tottenham -26/64
 
Arteta niletee watu hawa January:
  • Max Kilman: Replacement ya Gabriel (LCB)
  • Michael Olise: Replacement ya Saka (RW)
 
Arteta niletee watu hawa January:
  • Max Kilman: Replacement ya Gabriel (LCB)
  • Michael Olise: Replacement ya Saka (RW)
Olise Kama huna £80m nakuendelea humpati , umesikia hata Kuna anayemuulizia ?

Gusa Bei uone

LCB tunaye mmoja, Arsenal wanasubiri Summer wamchukue Evan Ndicka huyu Ni LCB wakiwango Cha juu Sana ,anamaliza mkataba wake ,top clubs zinamnyatia sana
 
Back
Top Bottom