Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Mechi 10, Nyumbani 5 na Ugenini 5,
Nyumbani hatuna Cleensheet na tumeruhusu magoli 10 ya kufungwa katika mechi zote 5 japokuwa tumeshinda mechi zote na kufunga mabao 14 wastan tuna mabao 4 ya faida, ugenini katika mechi 5 tumeruhusu mabao 3 tu vs Man u na tumeshinda mechi 4 na kufungwa hiyo 1 na tumeweza funga mabao 10 tuna faida ya mabao 7,
inabidi tukaze Emirates kupunguza idadi inaonekana Emirates tunashambulia mnoo na kuzuia tukiwa nyumbani sio kipaumbele chetu😀😀