Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hao waliomtaka Bissouma Ni wale wasiolewa Arteta timu yake inachezaje ,

Kuhusu xhaka wanaomjua Wala hajabadilika , kamsikilize Arsene Wenger alichowahi kusema Kuhusu xhaka alisema xhaka Ni more advanced CM au box to box,

Alipokuja emery ndiye akawa anamtumia out of position ,hata Wenger kutokana na majeruhi ya Santi cazorla ,n.k alimtumia Kama DM, hapo xhaka alipoteana

Ila xhaka Kama advanced no.8 alikuwa anaongoza had kwa kupiga pass epl ,

Mimi huwa nashangaa Sana nikisia eti xhaka kabadilika ,

Xhaka alikuwa anachezeshwa DM ,nafasi asiyoimudu

Style play ya Arteta inataka DM anayejua kupiga pass na ku control mchezo ,pia uwe press resistant

Kwa sifa Hizi wavunja kuni Kama Bissouma, ndidi, casemiro , Viungo wa namna hii huwez kuwaona hata kwa Pep Guardiola,

Partey mwenyewe alikuwa na sifa hizo ,ilibidi abadilishwe Kwanza ,anasema mwenyewe Partey .
Mchezaji kufanya ama kutokufanya vema kunachangiwa na vingi.

Xhaka kabadilishwa akafeli, vipi wale waliobadilishwa na wakawa bora?

Casemiro kutokuonekana kwa pep ndio sio moja ya viungo wakabaji bora!??
Sasa kama partey aliweza kubadilishwa vipi kwa wengine!?
 
Casemiro Ni Aina ya viungo wanaokabia juu , na sio kila MCHEZAJI anabadilishika ,

Mwalimu anaangalia Aina yako ya uchezaji anaona unaweza kubadilishika bas unafaa, Partey alikuwa anacheza DM ila alipokuja Arsenal Nafas hiyo hiyo akabadilishwa jinsi ya kucheza Kuna Article kaelezea .

Xhaka hajaibadilishwa Ila alikuwa anachezeshwa out of position

Kuna Aina ya uchezaji hasa hii modern football haiwataki kabisa hao Viungo Kama Casemiro ,Ndidi ,Onana, Bissouma, n.k

Ndio maana Ten hag alimkomalia Sana FDJ kuliko casemiro aliyekuja Kama plan B, japo mwanzo hakupenda kumtumia pia .

Hata pale Madrid ,Don Carlo , kwa kuendana na soka la Sasa, alikuwa hamshirikishi Casemiro kwenye buildup , Bali anacheza juu ya modric & Kross ,

Kabla hujamtaka MCHEZAJI Angalia Kwanza anafiti style play iliyopo

Sio kila MCHEZAJI mzuri anacheza poo popote ..

Leo watu Kama Mesut Ozil ,no.10 za kutaka awe free role hazihitajiki , wanatakiwa watu Kama Martin Odegaard,KDB, watakimbia Km 15 mech nzima, watakaba ,wata press , wat create chances , .
 
Sheikh hamis sijui hata unazungumzia nini, haya white anakula ubavu wa kulia hapo ni out of position au kabadilishwa, je xhaka angeshine pale tungesema ni out of position!? Ukiona mwalimu anambadili mtu nafasi ni kwamba kuna jambo kaona, katika mfumo(mbinu zake) atamfaa

Hakuna mchezaji asiyetakiwa na hiyo unayoita ni modern football bali ni kuwa hafai kwenye aina fulani ya mpira wa kocha fulani.
Unisaidie, hiyo unayoita ni modern football, ishabafilika mara ngapi(era za modern) zimekuwa ngapi na je wachezaji wangapi wameachwa na hizo era.
Kuna mwalimu hatotaka mviziaji, kuna mwalimu atawahitaji waviziaji. Aina ya uchezaji ni toka enzi na enzi, uchezaji wa lewandowski basi si mpya kuna strikers jamii yake kibao walikuwepo.

Ozil mara kadhaa alikuwa anagonga km 12 kwenye mechi.. Sikumbuki msimu lakini kuna msimu alikuwa namba 2 kwa kucover distance kubwa uwanjani.

Huyo odegaard ni mzuri kwenye mfumo wa arteta kuna walimu wengine kwa aina ya soka lao hawafai, ndio soka lilivyo, hata ozil angekuwa anachipukia leo akacheza kwa arteta tegemea angekupa kitu hiki hiki anakupa odegaard ama zaidi sababu anacheza kwa maelezo ya mwalimu. Mchezaji yupo uwanjani kutekeleza maelekezo ya mwalimu akitumia uwezo binafsi.
 
Ozil hakuwa mtu wa ku cover km kila Mechi, ozil anajulikana mvivu wakutosha,

Ozil angekuwa ana weza kukata km uwanjani Basi asingeanza kukataliwa hata na unai emery, Ozil hata kupress alikuwa hafanyi. Odegaard anacheza kwa pep hata Klopp, kuelekea Arsenal vs Liverpool ,Klopp alimzungumzia vzr .

Unamzungumzia Ben White? Au hujui huyu Ni versatile player sio Kwamba kabadilishwa ,White anacheza RB,DM NA RCB, hiyo Nafas anayecheza Sasa hajabadilishwa , na ukiona MCHEZAJI kabadilishwa ujue ana Sifa za kutumika hiyo position
 
#Arsenal are reportedly interested in Eintracht Frankfurt defender Evan Ndicka. The Gunners are looking for a left-sided centre-back to provide competition for Gabriel. Ndicka, 23-years-old, is out of contract at the end of the season. [@sr_collings] #afc
 
#Arsenal are expected to re-explore the signings of another wide forward & central midfielder in January. Arteta wants to acquire a versatile forward, who can interchange positions across his side's frontline and provide healthy competition for Martinelli & Saka. [@Daily_Express]

#Arsenal are also open to signing a left-sided centre-back to cover Gabriel Magalhaes, but that could happen in the summer. Additionally, the Gunners would like to sign some extra support and competition for Granit Xhaka and Thomas Partey. [@Daily_Express] #afc
 
Back
Top Bottom