Kakumamoto
JF-Expert Member
- May 6, 2015
- 1,607
- 2,441
Kila game itakuwa na mapungufu yake kufuatana na game plan ya Mwalimu na aina ya mpinzani mtakayekutana nae, na timu zitavypcheza. Arsenal haina kikosi kibaya kiaisi cha kusema kuna mapungufu mengi sana.Ni kweli mkuu
Arteta azidi kuijenga timu, tuna mapungufu mengi sana

