Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

PSV have lost a Europa league game for the first time this season.

Bodø were on a 14 game unbeaten run at home in Europe until they played Arsenal.

Onto the next one: League game against Southampton.
 
✅️ 2-0 v Crystal Palace
✅ 4-2 v Leicester
✅ 3-0 v Bournemouth
✅ 2-1 v Fulham
✅ 2-1 v Aston Villa
❌ 3-1 v Man Utd
✅ 1-2 v FC Zürich
✅ 0-3 v Brentford
✅ 3-1 v Spurs
✅ 3-0 v Bodø/Glimt
✅ 3-2 v Liverpool
✅ 0-1 v Bodø/Glimt
✅️ 0-1 v Leeds
✅️ 1-0 v Psv
 
Duh , kutoa maon tu tayari ushajibu hivo, ?

Sangare, ana tofauti gani na kina Bissouma,ndidi?

Je Arteta ulishasikia akihusishwa na type hiyo ya viungo, wavunja kuni?
Ulichokiona wewe ni tofauti na nilichokiona mimi na inawezekana ikawa tofauti na alivyoona mtu mwengine.

Kama umeona kuvunja kuni tu basi mi sijaangalia hilo tu.. na una sababu gani ya kusema mchezaji ni mvunja kuni? Kwahiyo DM asikabe? Kama ni hivyo basi hata Partey ni mvunja kuni, maana hufanya hivyo pia.

Halafu nashangaa jana baadhi ya watu wakawa wanasema Yvone Bissouma ni mvunja kuni- hana lolote, is he not suppose to tackle when he has to?

Mi nathubutu kusema Bissouma alikuwa mtu sahihi kwa Arsenal kama replacement ya Partey, najua na wewe una perception yako. So kila mtu abaki na perception yake.
 
Ok elewa hivo, but Bissouma kwa £25m alisubiri ofa ya arsenal na top clubs zikamchunia ,mwisho mezan akawa na ofa moja tu kutoka Spurs

Akaona aende, na bado anasugua bench mbele ya bentacur na hoijeberg.

Top clubs zinaachana na viungo wagumu , hata Chelsea waliacha kumtumia Kante Kama DM msimu wa 5 huu ,

Top clubs hazitegemei Tena ziwe na mtu maalumu wakukaba ,Zina defend kwa unit na structure maalumu .

Viungo wakabaji utawakuta middle teams ,

Mfano kilichomtokea Spurs against United , 3DMs vs 1DM akazidiwa dk zote 90
 
Arteta hafagilii wachezaji Kama hao ,mbona interview zake ukisikiliza utaelewa hao kina Sangare hata Hana muda nao .

Sijui bado mnadhani tupo zama za miaka ya 2000 kiungo lazima awe mbabe ,mgumu

Sasa hivi Viungo Ni wanaojua kupiga pass za kuvunja line , hauwezi kuwapress kirahisi, Pep Guardiola dhidi ya man u juz Kati alimtumia DM Gundogan , man u akala chuma 6
 
Waelewe mpira wakisasa hauhitaji mkabaji mmoja , kukaba Ni jukumu la timi nzima ,ndio maana wavivu Kama ozil, Auba walioneshwa mlango wakutokea
 
Sawa mdogo wake Arteta.
Jibu vizuri wewe jamaa, Ukweli Ni kwamba hao wachezaji mnaowaona wazuri nyie ulishajiuliza Arteta anataka timu yake ichezaje , je kwa profile zipi za wachezaji au tunajiropokea?

Humu humu mlimponda Sana Jesus asije mkasema Bei ni kubwa hastahili kuja, humu humu mlidai kwanini anauzwa emi Martinez ananunuliwa Ramsdale,humu humu mlimtaka hossam Aour mkamkataa Odegaard ,huyu Aour Hadi Northgham forest wamemkataa

Humu humu mlimliia Buendia

Hamjifunzi tu,? Mifano Ni mingi
 
Arteta hafagilii wachezaji Kama hao ,mbona interview zake ukisikiliza utaelewa hao kina Sangare hata Hana muda nao .

Sijui bado mnadhani tupo zama za miaka ya 2000 kiungo lazima awe mbabe ,mgumu

Sasa hivi Viungo Ni wanaojua kupiga pass za kuvunja line , hauwezi kuwapress kirahisi, Pep Guardiola dhidi ya man u juz Kati alimtumia DM Gundogan , man u akala chuma 6
Inawezekana tunatofautiana kwenye kuutazama mpira. Inawezekana wengi mmemuona Sangare jana tu. Kilichompa shida dhidi ya Arsenal ni kwa sababu ya approach ya PSV, maana wao walikuwa chini sana huku Arsenal waki dominate sehemu kubwa ya mechi na kufanya pressing muda wote wanapopoteza mpira. Jaribu kumuangalie tena mechi ya marudiano next week kule Edhoven kisha uje kutuambia.

Hapo kwa Guardiola hhhm! Hivi unajua sababu ya kuanza CM wa3 kwenye utatu wa kati ni kwa sababu Rodri hakuwepo? Ndio Rodri hakuwepo hata benchi.
Na ile siku Gundogan hakuwa DM nikwambie basi. Kama hujui siri kubwa ya kukaba kwa Guardiola ni ku possess mpira basi ndo nakwambia leo. Kaweka vile akijua muda mwingi watakuwa na mpira. Wakipoteza wanakaba fasta as a unit kuurudisha mpira kwenye himaya yao. Lakini ukisema Gundo ndo alikuwa DM, what about Bernado? What about KDB? Maana wote hao wanakaba intensively as a unit mpaka mwisho.

Guardiola aliwahi kuufanya ujinga huo kwenye fainali ya UEFA dhidi ya Real Madrid kwa kuwaanzisha CM wa 3 huku akimuacha Rodri benchi. Kila mtu anaelewa kilichotokea, Real Madrid waliwa expose mpaka alipokoma na kumuingiza Rodri 2nd half. Lakini wale ni Madrid sio mbugila mbugila kama Man Utd.
Na najua hawezi kufanya ujinga huo dhidi ya Arsenal maana anamuelewa Arteta hato hesitate kumjeruhi.
 
Haya tukubaliane,muda utaongea
 
Jibu vizuri wewe jamaa, Ukweli Ni kwamba hao wachezaji mnaowaona wazuri nyie ulishajiuliza Arteta anataka timu yake ichezaje , je kwa profile zipi za wachezaji au tunajiropokea?

Humu humu mlimponda Sana Jesus asije mkasema Bei ni kubwa hastahili kuja, humu humu mlidai kwanini anauzwa emi Martinez ananunuliwa Ramsdale,humu humu mlimtaka hossam Aour mkamkataa Odegaard ,huyu Aour Hadi Northgham forest wamemkataa

Humu humu mlimliia Buendia

Hamjifunzi tu,? Mifano Ni mingi
Ulitaka nijibu vipi? Nani anajiropokea?

Maana jamaa yako amejibu kama vile yupo kwenye akili ya Arteta.

Nikuulize swali dogo tu, kwa mfano ikatokea Arteta akamsajili Sangare January mtasemaje??
 
Back
Top Bottom