Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mechi ya Bodo ilitakiwa ituashirie kwamba tunapotea, ya leo imeconfirm kwamba tunapotea.

Ni aibu kiukweli.

Yaani Leeds kaongeza shots, possession na potential dangerous move simply kisa ananyang'anya mpira kutuzidi na anafanya purposive movements kutuzidi? Na yuko 15th sisi ni wa kwanza?

Arteta atafute dawa kabla hatujaharibu zaidi ya performance ya leo na iliyopita.

Upuuzi.
Aibu gani?!
 
kipindi cha kwanza tuli control mchezo kwa kiasi flani ila 2nd half kocha wa leeds alimsoma vizur arteta.. ni vile wachezaj wa leeds tu wamekosa bahati n ubora.

arteta makocha pinzani wanaanza trtibu kumjulia namna y kucheza nae..
Nakubaliana na unachosema ila sio kwamba makocha wameanza kumsoma Arteta cuz mpira huwa unachezwa open, kwenye soka ukiwa na elite structure + top technicians then you're unstoppable, kwenye scenario yoyote ile lazima kutakuwa na free man on the pitch, so lazima timu itabeat press yoyote kirahisi.

Leo tumefeli kucontrol mchezo kwa sababu kuu mbili, namba 8 wetu wote wawili Xhaka analack press resistance + odegaard analack ball striking, ukumbuke leeds ni timu inayopress vizuri sana, hawakupi time on ball. Leeds wametukumbusha kuna uhitaji wa kumpata mchezaji aina ya Youri Tielemans kuwa tayari kwa vita yoyote.
 
Mechi ya Bodo ilitakiwa ituashirie kwamba tunapotea, ya leo imeconfirm kwamba tunapotea.

Ni aibu kiukweli.

Yaani Leeds kaongeza shots, possession na potential dangerous move simply kisa ananyang'anya mpira kutuzidi na anafanya purposive movements kutuzidi? Na yuko 15th sisi ni wa kwanza?

Arteta atafute dawa kabla hatujaharibu zaidi ya performance ya leo na iliyopita.

Upuuzi.
Calm down brother, ni siku mbaya tu kazini. Tutegemee siku ka hizi. City na squad + expirience bado huwa anakutana na gemu kama hizi. The positive is we walked away with 3 points. Lets forget today and move on
 
Apewe number sasa pale England....View attachment 2389324
IMG_20221016_195338.jpg
 
ni bora hivi anavyocheza arteta,maana hizi positional based team zikikuana na high pressing team yenye quick transition ni mateso kwendambele
Moja ya sababu kubwa iliyofanya tupoteze game ya Man u ni kushindwa kucontrol space wakati wa kudefend quick transitions, kwenye transitions tunakuwa exposed sana akikosekana Partey.
 
Ifike stage Arteta ajue anatak nn aisee,Europa aweke vijana wengine rotation dah
 
Ifike stage Arteta ajue anatak nn aisee,Europa aweke vijana wengine rotation dah
Hivi Ni lazima kukoment?

Unajua umuhimu wa hizi mech 2 za Europa ?

Arsenal akiongoza kund ana escape 2 games ,anaruka moja kwa moja round 16 ,akiwa wa pili anacheza round 32 mech tafu na waliotoka UCL

Arteta Anajua kuliko wewe
 
Gabriel haikua na haja ya kumuanzisha mechi ya Bodo wew kaza fuvu
 
Baada ya Leeds kuipa kichapo heavy chelmatako na jinsi wanavyocheza kwa kupress, kiukweli Mimi nilikuwa tunaweza shikiliwa Leo!...Baada ya kipenga Cha mwisho kupulizwa nimeshangilia mpaka watu wamenishangaa... Wale Leeds hawafai, timu nyingi kubwa za big six zitaacha point pale Msimu huu... Japo tumeshindwa kwa mbimbe lakini tumeonyesha kuwa tunaweza kulinda ushindi wetu!
 
Baada ya Leeds kuipa kichapo heavy chelmatako na jinsi wanavyocheza kwa kupress, kiukweli Mimi nilijua tunaweza shikiliwa Leo!...Baada ya kipenga Cha mwisho kupulizwa nimeshangilia mpaka watu wamenishangaa... Wale Leeds hawafai, timu nyingi kubwa za big six zitaacha point pale Msimu huu... Japo tumeshinda kwa mbimbe lakini tumeonyesha kuwa tunaweza kulinda ushindi wetu!
 
Back
Top Bottom