Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

kipindi cha kwanza tuli control mchezo kwa kiasi flani ila 2nd half kocha wa leeds alimsoma vizur arteta.. ni vile wachezaj wa leeds tu wamekosa bahati n ubora.

arteta makocha pinzani wanaanza trtibu kumjulia namna y kucheza nae..
 
Guys, these players are just humans. Kucheza midweek then leo ucheze at the highest intensity sio rahisi sana. Give credits to the guys, sio kila siku utacheza pira zuri, lakini pia Leeds sio timu inayokaa kusubiri, wanacheza na wana possession game, hawakai kusubiri..

Congrats gunners!!
 
Stats Leeds vs Arsenal
Screenshot_20221016-190858_Google.jpg


Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
wanakaba space ya team pinzani halafu wanafanya quick transition wanaposhambulia
 
Second half imeleta stats hizi Mkuu

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Huo ndio ukwel,

Arsenal walikuwa na uchovu

Lkn bado wamepambana ,mtu analalamika , na hapo tumeshinda

Tuna mashabiki wasio na shukran , wale sio maroboti

Wamecheza Alhamis Norway, wamerud ijumaa ,jumamos wamefanya session 1 , jumapil game

Wameshinda ,bado wanalaumiwa

Leeds hapo nyumban kwake kaangalia form yake ana mech nyingi hajafungwa ,Chelsea alikula chuma 3 safi
 
Mechi ya Bodo ilitakiwa ituashirie kwamba tunapotea, ya leo imeconfirm kwamba tunapotea.

Ni aibu kiukweli.

Yaani Leeds kaongeza shots, possession na potential dangerous move simply kisa ananyang'anya mpira kutuzidi na anafanya purposive movements kutuzidi? Na yuko 15th sisi ni wa kwanza?

Arteta atafute dawa kabla hatujaharibu zaidi ya performance ya leo na iliyopita.

Upuuzi.
Aibu gani?!
 
kipindi cha kwanza tuli control mchezo kwa kiasi flani ila 2nd half kocha wa leeds alimsoma vizur arteta.. ni vile wachezaj wa leeds tu wamekosa bahati n ubora.

arteta makocha pinzani wanaanza trtibu kumjulia namna y kucheza nae..
Nakubaliana na unachosema ila sio kwamba makocha wameanza kumsoma Arteta cuz mpira huwa unachezwa open, kwenye soka ukiwa na elite structure + top technicians then you're unstoppable, kwenye scenario yoyote ile lazima kutakuwa na free man on the pitch, so lazima timu itabeat press yoyote kirahisi.

Leo tumefeli kucontrol mchezo kwa sababu kuu mbili, namba 8 wetu wote wawili Xhaka analack press resistance + odegaard analack ball striking, ukumbuke leeds ni timu inayopress vizuri sana, hawakupi time on ball. Leeds wametukumbusha kuna uhitaji wa kumpata mchezaji aina ya Youri Tielemans kuwa tayari kwa vita yoyote.
 
Back
Top Bottom