Mkushi w jani
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 1,896
- 1,698
ndo inatakiwa ivo ivo na kwenye namba ya parteyAna mda mchache tu ata master, Arteta kichwa kitamuwaka wakumpanga na wa kusubir
ndo inatakiwa ivo ivo na kwenye namba ya parteyAna mda mchache tu ata master, Arteta kichwa kitamuwaka wakumpanga na wa kusubir
aaaah kwa kweli aseee asepe tuReiss Nelson hana uwezo wa kucheza arsenal, bora akimbie kama alivyofanya Willock. Wenzake akina Rowe, Saka na Martinelli wamekuwa wazuri yeye kabaki anarukaruka.




Kiringe chako kiko wapi mkuu?Leeds United ndyo tunaanza ligi Leo mkipata hata draw nyie arsenyeto mniite mbwa nimekaa pale![]()
.We kla cku umekaa hapoLeeds United ndyo tunaanza ligi Leo mkipata hata draw nyie arsenyeto mniite mbwa nimekaa pale![]()
Mpaka ligi ifikie round ya 19 , Liverpool asipojiangalia tutamuacha point 20
Leo akaze hata sare

hizi mechi zinaishaga kwa ushindi wa 1:0 au 2:0Arteta ni MKATILI
hiki kikosi ni size ya Liverpool ambae alipokea fimbo za kutosha
City ambae nae lazima atapigwa tu
Nilitegemea leo nimuone Nketiah, Fabio, Tierney,
Anyway, anaekufa acha afe
Tena leads walivyokua na mchezo wa kufunguka funguka, leo watavutishwa pumzi ya moto, walai vile
Full time; arsenal 7 leads 0
Baada ya kuona kikosi
Haaland kiatu
Arsenal ndooView attachment 2389053
Kweli Drake ana gunduMkeka wa Drake sema naona some fans wanalia inavyosemekana Drake ana kigunduView attachment 2388643
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app

katubetia tayari mechi imekuwa Interrupted let's wait for the final 90 Minutes Nini kinaendelea UwanjaniTeknologia haina adabu,imewaumbua wakoloni
https://twitter.com/EPL054?t=uaE_amu5kAal3z3pYgUAXw&s=09 hii kwa game zote eplNaomba app/link ya kuangalia EPL Tottenham Hotspur VS Everton
Asante Chifuhttps://twitter.com/EPL054?t=uaE_amu5kAal3z3pYgUAXw&s=09 hii kwa game zote epl