Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Klopp alilalamika
kambi ya mazoezi alijianda salah kukutana na zinny au kieran
kwenye mechi kakutana na Tomiyasu
akaona bora salah akapumzike
 
Nilijua tu Steve Gerrard hawezi kuwapa Arsenal Douglas Luiz kirahisi, ni mtu wa fitina sana... Rejea kipindi kile sakata la Luis Suarez kutaka kuondoka Liverpool kwenda Arsenal, Steve Gerrard alishiriki kwa kiasi kikubwa kumshawishi Suarez asijiunge na Arsenal na alifika mbali na kumwambia kwa uwezo wake Arsenal si sehemu sahihi. Kuwapa Douglas Luiz Arsenal ni kuzidi kuwaimarisha sana na kufubaisha nafasi ya Liverpool kuchallenge ubingwa na Steve Gerrard na Liverpool ni pete na Kidole.
Ayo ni mawazo weee takataka wa arse8, eti kwani uko kwenye kichwa cha gerald?🤪🤪
 
Mkeka wa Drake sema naona some fans wanalia inavyosemekana Drake ana kigundu
Screenshot_20221016-072433_Instagram.jpg


Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Reiss Nelson hana uwezo wa kucheza arsenal, bora akimbie kama alivyofanya Willock. Wenzake akina Rowe, Saka na Martinelli wamekuwa wazuri yeye kabaki anarukaruka.
Kinachoniuma wali graduate kwenye same year.

Binafsi naona Reiss Nelson ana progressives mbovu sana kuliko watu wote waliopewa nafasi,Yeye na dogo Jeff Adelaide watu walitegemea makubwa sana kutoka kwao.
 
Back
Top Bottom