Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
💥 WONDERKID FOLARIN BALOGUN
✍️Folarin Jerry Balogun baada ya kufunga bao moja dhidi ya Troyes hapo jana, sasa amefunga mabao sita akiwa na Reims katika Ligue 1 msimu huu, mabao hayo ni mengi zaiidi ya mchezaji mwengine yeyote aliyezaliwa karne ya 21 katika zile ligi tano bora barani ulaya msimu huu.
👉michezo 9
👉mabao 6
👉pasi za mabao 1
✍️Folarin Balogun pia sasa ndiye mchezaji wasita aliyehusika katika mabao mengi zaiidi msimu katika Ligue 1.
👉Neymar Junior (15)
👉Lionel Messi (12)
👉Dango Outtara (8)
👉Florian Sotoca (8)
👉Jonathan David (8)
👉Folarin Balogun (7)
✍️Folarin Balogun pia ndiye mchezaji watatu aliyehusika katika mabao mengi zaiidi msimu katika Ligue, kwa wachezaji wenye umri chini ya miaka 23.
👉Dango Outtara (8)
👉Jonathan David (8)
👉Folarin Balogun (7)
👉Cardoso Martins Tete (6)
👉Elye Wahi (6)
✍️Folarin Balogun ni mchezaji wa Arsenal yuko Reims kwa mkopo.

Arteta hafanyagi huo ujinga.