Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tukimfunga Liverpool itapendeza cuz inatupa uhakika wakubaki on top, imekuwa kawaida liverpool kutufunga tangu Klopp kachukua timu. Kwa standard tuliyoset hivi sasa sioni sababu kwanini Liverpool watufunge j'pili. Weka electric atmosphere + tandaza soka safi high line mwanzo mwisho, dakika 90 point tatu zinabaki Emirates.
 
Imo, Arteta amwanzishe Kieran Tierney mechi dhidi ya liverpool badala ya Zinchenko, tutawaua kirahisi huku Salah akidhibitiwa, Zinchenko akianza dhidi ya Salah tutakuwa exposed sana kwenye transition, japokuwa tunamuhitaji zaidi zinny if we go for total control.
Yeah, Tierney amalize pale ili tuwe safe zaidi

Basi white ampishe tomiyasu ile wings na full backs zi balance mikimbio
 
Liverpool ukitoa kile kikosi chake cha kwanza ana nini cha ziada

Kukosekana kwa Thiago, Nunes, Anderson
Wiki zilizopita aliyumba sana kimatokeo

Na ata walipo rudi, bado wana struggle.
Alikua ni kikosi kamili lakin katoa draw na Brighton
Tena Brighton kapiga mpira mkubwa sana

Au nyumbu, japo ana wachezai wengi kuliko arsenal.
Ukitoa ile starting eleven yake, nae niambie ana nini cha ziada?
Ata uyo Chelsea kikosi anaunga unga tu

Kumbuka arsenal bado hatuna full squad
Na pengo kubwa akikosekana partey

Ila baada ya game na Liverpool, wanaofata hata bila ya partey ni Fimbo tu

Liverkuku mwenyewe nae ajiandae FIMBO za kutosha

Martinel ashaanza kutuma salam kwa A. anorld
Kwa sasa hakuna mid ya liverkuku inayoweza ku-battle na partey

Saka hawana uwezo wa kumzuia ata kidogo, kwanza huwa anakabwa na wachezaji kuanzia wawil

Saliba na Gabriel huo ukuta ameushinwa Kane, sijui huyo nunez na wajjnha wenzake watakuja kufanya nini

Zinchenko wamoto

Odegard wamoto

Xhaka ndio man of the show

Haaland anabeba kiatu
Arsenal anabeba ndoo
Hapo mwishoni sijaelewa unaongelea ndoo gan
 
Inshu ni quality mkuu. Ndo maana Zin katoka kwenye injury kaanzishwa licha ya kuwa Tierney Yuko fit. Ode ametoka kwenye illness kina Viera wapo lakini bado hawaaminiwi.Inshu siyo wengi, inshu ni je atakupa product Sawa na yule anae Anza kikosi Cha kwanza?
Zinny alikuwa injury akapona, Tierney kaumia jumatano, International game ,

Ode ilikuwa knock akakosa dhidi ya Brentford,lkn mech za taifa kacheza
 
Imo, Arteta amwanzishe Kieran Tierney mechi dhidi ya liverpool badala ya Zinchenko, tutawaua kirahisi huku Salah akidhibitiwa, Zinchenko akianza dhidi ya Salah tutakuwa exposed sana kwenye transition, japokuwa tunamuhitaji zaidi zinny if we go for total control.
Kama ulimsikiliza Arteta kabla ya mech ya Spurs alipoulizwa amejiandaaje dhid ya kaunta za Spurs alisema atakuja Kama Siku zote ,hivo waje na kaunta zao

Most of fans mitandaon walitaka aanze Tierney coz ya hizo kaunta

Mm nasema aanze Zinny , why ? Tunahitaji ku control Midfield,

Ishu ya kudefence bado inabaki kwa Timu nzima

Tulifungwa na man u coz ya kaunta , Pep juz akajua ndio silaha yao iliyotumika kuwafinga Arsenal akaja tofaut na Siku zote, uliona alichofanya hakushambulia kwa 2-3-5 Bali Walker na cancelo hawakuwa wanaingia ndan Kama anavyofanyaga ili kuzimeza kaunta za man u

So Liverpool ya Sasa twende nao Kama mech nyingine, Cha Kwanza TU control MD , beki yao hasa Trent anapitika Sana

Ukiruhusu MD waitawale Ni kuruhusu Trent apande ,Hilo tatizo

MWISHO, kwasasa Tierney anazoeshwa na yeye kucheza Kama Beki kiungo

Utafauti wake na Zinny ,Zinny Ni Technical mguuni
 
ethan Nwaeri ndiye mchezaji mdogo zaidi kuwahi kucheza ligi kuu uingereza kwa sasa akiwa na umri wa miaka 15 pekee amezaliwa march 21/2007
FB_IMG_1664894013595.jpg
 
Yeah, Tierney amalize pale ili tuwe safe zaidi

Basi white ampishe tomiyasu ile wings na full backs zi balance mikimbio
Ishu kwa white ni kuwa ana speed sana ile running power ya kupress high line na kurudi fasta when we defend transitions so Tomiyasu ni ngumu sana kuanza.
 
Kama ulimsikiliza Arteta kabla ya mech ya Spurs alipoulizwa amejiandaaje dhid ya kaunta za Spurs alisema atakuja Kama Siku zote ,hivo waje na kaunta zao

Most of fans mitandaon walitaka aanze Tierney coz ya hizo kaunta

Mm nasema aanze Zinny , why ? Tunahitaji ku control Midfield,

Ishu ya kudefence bado inabaki kwa Timu nzima

Tulifungwa na man u coz ya kaunta , Pep juz akajua ndio silaha yao iliyotumika kuwafinga Arsenal akaja tofaut na Siku zote, uliona alichofanya hakushambulia kwa 2-3-5 Bali Walker na cancelo hawakuwa wanaingia ndan Kama anavyofanyaga ili kuzimeza kaunta za man u

So Liverpool ya Sasa twende nao Kama mech nyingine, Cha Kwanza TU control MD , beki yao hasa Trent anapitika Sana

Ukiruhusu MD waitawale Ni kuruhusu Trent apande ,Hilo tatizo

MWISHO, kwasasa Tierney anazoeshwa na yeye kucheza Kama Beki kiungo

Utafauti wake na Zinny ,Zinny Ni Technical mguuni
Unajua mkuu mara nyingi during transitions timu inakuwa juu kwenye opposition half, na liverpool ni transitional monsters, so it's better off kuanza na Tierney kuliko Zinchenko, Tierney is a good defender, Zinny ni mzuri technically tho.
 
Nasoma comments za mashabik wa spurs Baada ya kutoka 0-0 na Frankfurt , na muda mwingi Spurs akicheza kiujanja ujanja kusubiri KAUNTA,

,dah Mashabiki Conte hawamuelewi, leo katoka na 0 shots on target ,

Wanadai kashaharibu uwezo wa Son, amekuwa butu

Spurs nimegundua form yake asilimia kubwa inategemea Sana uwepo wa Kuluvelski, ndiye mpishi mkubwa wa magoli yao .

Pia Richarlson akicheza right hajawahi kuwa na madhara ,

Everton alikuwa anatokea Left au anacheza false 9 lkn atatokea left
IMG_20221004_231107.jpg
 
Nimeichek game ya barca
Kwa watu aliokua nao Xavi nadiliki kusema Xavi uwezo mdogo

Arteta anajua jamani

Amepigiwa low block na inter ameshindwa ku-unlock
Arteta au guardiola ukikaa nyuma ndio wanakuua vizuri
 
Nasoma comments za mashabik wa spurs Baada ya kutoka 0-0 na Frankfurt , na muda mwingi Spurs akicheza kiujanja ujanja kusubiri KAUNTA,

,dah Mashabiki Conte hawamuelewi, leo katoka na 0 shots on target ,

Wanadai kashaharibu uwezo wa Son, amekuwa butu

Spurs nimegundua form yake asilimia kubwa inategemea Sana uwepo wa Kuluvelski, ndiye mpishi mkubwa wa magoli yao .

Pia Richarlson akicheza right hajawahi kuwa na madhara ,

Everton alikuwa anatokea Left au anacheza false 9 lkn atatokea left
View attachment 2377395
Conte wa Spurs simuelewi kabisa. Sijui shida ni nini. Maana alipo kuwa Chelsea na Inter alikuwa anacheza mpira mzurii, Wachezaji Wana press mpaka golini. Lakini Spurs ana jilindaa sana haijarishi anacheza na giant au underdog
 
Back
Top Bottom