Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Chelsea ilicheza mpira mbovu mno msimu wa pili wa Conte.

Miaka yote conte ndivyo anavyozichezesha timu zake, watu 7 mtakaba, 3 wa mbele subirini long balls. Hapo akitegemea pace ya Son na Richarlson, Inter aliitegemea ya Lukaku, Martinez na Hakimi.

The only reason amekua akicheza mpira mbovu na anapona mara nyingi ni kwakua Kane na Son wanaweza create chance outta nothing. Spurs looks dangerous going forward mara zote kutokana na hao watatu.

Ukizuia long balls za Spurs unakua hauna tofauti na unapocheza na Brighton.

Tupo pamoja ndugu zangu. Sijanunua simu bado.
 
Tutakuwa pamoja Castr
 
Upo sahihi li mpira lake Ni Hilo Hilo , Msimu wakwanza pale Chelsea alikuja na 3-4-3 ,mfumo ambao ulikuwa hautumik kabisa epl , hivyo aliwa surprise

Msimu wa 2 hata mwishon mwa Ligi tayari walishaanza kumjua , timu nyingi zikaanza kutumia 3-4-3 ku match mfumo wake ,hata Wenger Fainal FA alikuja na back 3 akampiga

Conte huo mfumo wake wa kuvizia arudi Italy labda,

Ila wale wachezaji wa spurs Ni wazuri ,akija kocha offensive atasumbua ...

Conte soon atagombana na wachezaji na kupoteza dressing room

Jana aliulizwa kwanini humpi nafasi Matty Doherty

Akajibu "Mimi sio mpumbavu ,sitaki kufungwa"

Akikosa matokeo utaona anageukia uongoz anaulaumu ,anageukia wachezaji anawapayukia hadharani
 
BEKI MMOJA HATOSHI KUMKABA SAKA

Ili timu pinzani ziweze kumkaba Saka ,zimekuwa zinatumia wachezaji wawili had WATATU,

Faida tunayoipata Ni ku create chances , kwa wengine , Dhidi ya Spurs Hata goli la Partey Saka alifatwa na wachezaji watatu wa spurs , kilichotokea wakamuacha Partey Free ,

Unaweza usimuone Sana Saka akifunga ila ndiye kichocheo Cha wengine kufunga , Hata goli la 2 Dhidi ya Spurs Ni kazi ya SAKA,

Timu nyingi zinajua hatari ya SAKA , hivo mechi nyingi lazima akabwe na mabeki had WATATU .

Hi ndio tofauti ya SAKA na Pepe ambaye alishindwa kufanya hiki kitu, Pepe ilihitaji beki mmoja tu kuziba njia , Lakini SAKA inahitaji mabeki wawili had watatu
IMG-20221005-WA0002.jpg
 
BEKI MMOJA HATOSHI KUMKABA SAKA

Ili timu pinzani ziweze kumkaba Saka ,zimekuwa zinatumia wachezaji wawili had WATATU,

Faida tunayoipata Ni ku create chances , kwa wengine , Dhidi ya Spurs Hata goli la Partey Saka alifatwa na wachezaji watatu wa spurs , kilichotokea wakamuacha Partey Free ,

Unaweza usimuone Sana Saka akifunga ila ndiye kichocheo Cha wengine kufunga , Hata goli la 2 Dhidi ya Spurs Ni kazi ya SAKA,

Timu nyingi zinajua hatari ya SAKA , hivo mechi nyingi lazima akabwe na mabeki had WATATU .

Hi ndio tofauti ya SAKA na Pepe ambaye alishindwa kufanya hiki kitu, Pepe ilihitaji beki mmoja tu kuziba njia , Lakini SAKA inahitaji mabeki wawili had watatuView attachment 2377496
Kuna mtu nilimwambiaga saka akiwa na mpira ule utulivu wake unawaondoa mabeki out of position na kunakuwa na mashimo mengi
hakimbii sana ila akiwa na mpira beki mmoja sio beki na anamfuata
baada ya makocha kugundua hilo wamekuja na mbinu ya kumzuia kwa wachezaji zaidi ya mmoja hivyo tunakuwa na wachezaji wawili wapo free kwenye ku attack
 
Conte wa Spurs simuelewi kabisa. Sijui shida ni nini. Maana alipo kuwa Chelsea na Inter alikuwa anacheza mpira mzurii, Wachezaji Wana press mpaka golini. Lakini Spurs ana jilindaa sana haijarishi anacheza na giant au underdog
Conte hajawahi kucheza mpira mzuri

Ni kocha anayetegemea defensive approach na individual brilliance

Niliona documentary ya Eddie howe kocha wa Sasa wa Newcastle, akielezea jins Msimu wa pili wa Conte akiwa na bornamouth alivyompiga Conte 3-0 , alielezea Msimu was Kwanza walishindwa kabisa kumsoma mfumo wa back 3 (kumbuka kwa Zaidi ya miaka 20 ulikuwa hautumik epl)

Msimu wa pili Conte alilambwa had 6-0 na Pep kwakukaa nyuma

Na MWISHO Chelsea walimtimua

Utofauti wa Conte na Sean Dyche Ni Conte huwa ana demand big players

IMG_20221004_231107.jpg
 
Kuna mtu nilimwambiaga saka akiwa na mpira ule utulivu wake unawaondoa mabeki out of position na kunakuwa na mashimo mengi
hakimbii sana ila akiwa na mpira beki mmoja sio beki na anamfuata
baada ya makocha kugundua hilo wamekuja na mbinu ya kumzuia kwa wachezaji zaidi ya mmoja hivyo tunakuwa na wachezaji wawili wapo free kwenye ku attack
Yah anawavuta kwenye touchline then anaanza kuwatoa mabeki kwenye position zao ili kutoa nafasi kwa Ode ,Jesus,wafanye yao
 
Chelsea ilicheza mpira mbovu mno msimu wa pili wa Conte.

Miaka yote conte ndivyo anavyozichezesha timu zake, watu 7 mtakaba, 3 wa mbele subirini long balls. Hapo akitegemea pace ya Son na Richarlson, Inter aliitegemea ya Lukaku, Martinez na Hakimi.

The only reason amekua akicheza mpira mbovu na anapona mara nyingi ni kwakua Kane na Son wanaweza create chance outta nothing. Spurs looks dangerous going forward mara zote kutokana na hao watatu.

Ukizuia long balls za Spurs unakua hauna tofauti na unapocheza na Brighton.

Tupo pamoja ndugu zangu. Sijanunua simu bado.
Conte ni kocha mzuri tactically na uwezo wa kuingia top 4 anao ila sio kushinda ligi EPL sababu kinachofanya kocha yoyote ashinde EPL kwa sasa anahitaji kuwa bora kwenye every phase of play, Conte hafanyi vizuri kwenye build up phase, hata anapobuild play utaona anaignore midifield phase mara nyingi kwa kucheza long balls

Ligi ya Epl siku hizi kuna makocha wengi wa kizazi kipya wanazingatia kila phase of play mfano Viera, Potter, Arteta, Howe, Marco Silva, Thomas Frank etc Standard za kuchukua ubingwa EPL zimebadilika kwa miaka ile 2016 sio sawa na leo 2022, Conte kushinda EPL sio rahisi lakini km atarudi italy mfano Juventus uhakika msimu wake wa pili atachukua ubingwa sababu italy ligi bado ipo chini kimbinu.
 
I believe Man u wakipata GK mwenye quality( chip balls) aina ya Ramsdale/ Ederson wanaweza kucheza mpira mzuri cuz technicians wazuri wapo kama Antony / Sancho ambao wakiwa kwenye nafasi nzuri wanakumaliza. As long as De Gea yupo golini wataendelea kustruggle kuretain possession dhidi ya timu bora, na itakuwa vigumu kucheza aina ya mpira kocha anaotaka.
 
Liverpool ukitoa kile kikosi chake cha kwanza ana nini cha ziada

Kukosekana kwa Thiago, Nunes, Anderson
Wiki zilizopita aliyumba sana kimatokeo

Na ata walipo rudi, bado wana struggle.
Alikua ni kikosi kamili lakin katoa draw na Brighton
Tena Brighton kapiga mpira mkubwa sana

Au nyumbu, japo ana wachezai wengi kuliko arsenal.
Ukitoa ile starting eleven yake, nae niambie ana nini cha ziada?
Ata uyo Chelsea kikosi anaunga unga tu

Kumbuka arsenal bado hatuna full squad
Na pengo kubwa akikosekana partey

Ila baada ya game na Liverpool, wanaofata hata bila ya partey ni Fimbo tu

Liverkuku mwenyewe nae ajiandae FIMBO za kutosha

Martinel ashaanza kutuma salam kwa A. anorld
Kwa sasa hakuna mid ya liverkuku inayoweza ku-battle na partey

Saka hawana uwezo wa kumzuia ata kidogo, kwanza huwa anakabwa na wachezaji kuanzia wawil

Saliba na Gabriel huo ukuta ameushinwa Kane, sijui huyo nunez na wajjnha wenzake watakuja kufanya nini

Zinchenko wamoto

Odegard wamoto

Xhaka ndio man of the show

Haaland anabeba kiatu
Arsenal anabeba ndoo
Niliandika hapa
Kwanza saka anakabwa kuanzia wachezaji wawili

Martinel anatuma salamu za amani kwa anorld

Hakuna middle ya Liverkuku inayoweza ku-battle na partey peke yake

Beki yao Wajiandae na moto wa jesus, odegard, xhaka, saka, martinel
 
I believe Man u wakipata GK mwenye quality( chip balls) aina ya Ramsdale/ Ederson wanaweza kucheza mpira mzuri cuz technicians wazuri wapo kama Antony / Sancho ambao wakiwa kwenye nafasi nzuri wanakumaliza. As long as De Gea yupo golini wataendelea kustruggle kuretain possession dhidi ya timu bora, na itakuwa vigumu kucheza aina ya mpira kocha anaotaka.
Man u bado hawana winga wa kucheza kwenye touchline , Sancho Ni Inverted forward Zaidi kuliko winger , Anthony sijawahi kuona tofauti yake na Pepe , show game , lkn sio mawinga wakumfanya beki ahangaike dk zote,

Kama mnakumbuka Saka alikuwa hawez kumpita Pepe kwa G/A lakin uwanjan mwenye faida kubwa alikuwa Saka
 
Back
Top Bottom