Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Timu ra kishamba sana hiri .. kushinda tumechi tutano tu basi munajiona mabingwa haha ..hii timu haitiboi desemba ..wacha muendelee kutamba tamba mukikutana na wanaume tunawapasua ipasavyo.
 
Wachambuz wa mchongo,kina Shaffih waliandika Hadi makala ,Arsenal hawez kutoboa October

Hizo mech wanazosema za October Sasa😅😅😅😅


Arsenal’s 𝗢𝗰𝘁𝗼𝗯𝗲𝗿 fixture schedule in full:

1/10: Tottenham H✅✅
6/10: FK Bodø/Glimt H
9/10: Liverpool H
13/10: FK Bodø/Glimt A
16/10: Leeds United A
20/10: PSV Eindhoven H
23/10: Southampton A
27/10: PSV Eindhoven A
30/10: Nottingham Forest H

#afc🙆🏾‍♂️🤔😂
 
Bila hiyana wala choyo Arsenyani mnaubonda mwingi ingawa magoli yenu mengi ni ya kubahatisha sana, yaani mpira unauona kabisa unaenda nje halafu ghafla unadunda kwenye jiwe unajaa wavuni

Msibisheeeeeee

Ila kipa wa Spurs lazima kamati ya FA tumuite kwa mahojiano, lile goli la pili mpira alikua ashaudaka kabisa halafu akauachia makusudi upite, kama hakubeti basi lazima atakua amepokea hongo ili auze mechi.

Will Jr usijitoe ufahamu na kujifanya kukanusha kua Partey ana low IQ. View attachment 2374148
It's a low IQ to argue with loser like you, i dont even waste my energy, mi na wewe ni mbingu na ardhi, you know nothing about this game labda mipasho.
 
Huyo jamaa ni Arsenal mwenzenu niliinasa comment yake ya zamani ikiwa na viashiria vyote vya kusapoti Arsenal kipindi hiko kabla hajaanza ujinga wake na niliscreenshot kuna siku nitamlipua humu nikiisaka nilipoisave.
Huyu mpuuzi Carrasco putin ni nyumbu
Sema siku hizi naona kachanganyikiwa mazima

Hatuna fan mjinga kama huyo sisi, mashabiki wa arsenal tawi la jf majina yao wote ninayo
Huyo mpuuzi hayupo
 
Jana mashabiki wa Arsenal tulitembelea hospital ya Palestine Sinza, kutoa vifaa vya Mama wajawazito

Kwangu hii huwa naichukulia kama ibada

Tulikuwa na Rais wa Arsenal TZ ,Edo kumwembe


View attachment 2374420
View attachment 2374423
Hii safi sana brother. Hongereni sana. Je Kuna branch ya hivi Arusha? Maana nikijaaliwa natafuta group yenye cause kama hii. Najitahidi kujilengesha kwenye environmental services zaidi kama kununua miche na upandaji miti ila nitatafuta kitu humanitarian zaidi baadae. Since napenda football na arsenal, labda group dogo lenye arsenal/football fans kusaidia wahitaji itakuwa poa/ no 'mambo mengi'.
 
Vita yenu na Man City ya kugombania makoti tunaomba msituhusishe.
Nyie pambaneni na hali yenu, Man United sio daraja la kuwasaidia nyinyi kupigwa na baridi kule kileleni.
Mkuu wewe ni jasiri sana
Na ndio unajitahidi kupangua hoja, hata kama kwa yaliotokea

Umekomaa kisoka, hauku deserve kuitwa nyumbu kabisa
 
Mkuu wewe ni jasiri sana
Na ndio unajitahidi kupangua hoja, hata kama kwa yaliotokea

Umekomaa kisoka, hauku deserve kuitwa nyumbu kabisa
Mkuu mpira kwangu ni burudani tu, siwezi kuchukulia serious kama vile ndio ajira yangu.
Licha ya uhondo tunaoupata uwanjani ila burudani kubwa zaidi kwangu ni zile tambo na kejeli za mashabiki, hizo ndio zinazonifanya nifurahie na niupende zaidi mchezo wa kandanda.
Kina Rashford na Ten Hag labda na wale waliobeti wakaliwa ndio wanapaswa kuteseka na matokeo kwa sababu wao wapo kazini na soka ndio ajira yao.
Kwa upande wangu ni ufala uliopitiliza kumuona shabiki anashindwa kula au kulala kisa eti timu imefungwa, halafu nyinyi mashabiki wa Arsenal takwimu zinaonyesha ndio mnaongoza kwenye rekodi za kujinyonga.

Ila lile Goli la Anthony madaktari bingwa wenyewe wamethibitisha kua linauwezo wa kutibu pressure, kisukari pamoja na cancer.


View attachment 2375394
 
Baada ya vita ya pepe Vs klopp kuisha Sasa ni arteta Vs pep mpaka epl ijulikane itatua wapi
 
Shaffih aliandika makala kubwa kuwa arsenal ana fixture ngumu October ,hataweza kuvuka ,

Hiyo fixture ya Arsenal fananisha na ya man u yake Sasa,

Arsenal’s 𝗢𝗰𝘁𝗼𝗯𝗲𝗿 fixture schedule in full:

1/10: Tottenham H✅✅
6/10: FK Bodø/Glimt H
9/10: Liverpool H
13/10: FK Bodø/Glimt A
16/10: Leeds United A
20/10: PSV Eindhoven H
23/10: Southampton A
27/10: PSV Eindhoven A
30/10: Nottingham Forest H

Manchester United's next six fixtures:

Everton (A) - October 9

Newcastle (H) - October 16

Tottenham (H) - October 19

Chelsea (A) - October 22

West Ham (H) - October 30

Aston Villa (A) - November 6
 
Back
Top Bottom