Kabla ya Red card walikuwa washapigwa chuma 2Jesus kuna rafu 2 alicheza zilikua za kula njano kabisa ila refa aliamua kupotezea.
Ila ile direct red card ya Emerson Royal ilikuwa ni uonevu, refa kwa makusudi kabisa aliamua kuua tu hii game.
Inaitwa Serious foul ,hata VAR hawakujisumbua kuangaliaJesus kuna rafu 2 alicheza zilikua za kula njano kabisa ila refa aliamua kupotezea.
Ila ile direct red card ya Emerson Royal ilikuwa ni uonevu, refa kwa makusudi kabisa aliamua kuua tu hii game.
Mkuu Aaron hapo wangapi from l either photo.Jana mashabiki wa Arsenal tulitembelea hospital ya Palestine Sinza, kutoa vifaa vya Mama wajawazito
Kwangu hii huwa naichukulia kama ibada
Tulikuwa na Rais wa Arsenal TZ ,Edo kumwembe
View attachment 2374420
View attachment 2374423
Kuna event nyingine tuna ipanga , nitaleta taarifa humu tukutaneMkuu Aaron hapo wangapi from l either photo.
Martinell Jana mbona kacheza poa tuMartinel ameanza kucheza ki father
Mkuu hilo tunalijua na tunalifanyia kaziArteta inabidi akomaee sana, tena sana asitoke pale juu kwa sasa. Maana Guardiola akikaa hata kwa bahati mbaya pale juu kwa wiki tatu mfululizo basi inakuwa nitolee hiyo na kombe mtalifukuzia Hadi dakika ya mwisho na hamtolipata.
Real madridWewe jamaa Ni timu gani naomba leo nijue
Kaa ukijua priority kubwa ni top 4 ubingwa ziadaArteta inabidi akomaee sana, tena sana asitoke pale juu kwa sasa. Maana Guardiola akikaa hata kwa bahati mbaya pale juu kwa wiki tatu mfululizo basi inakuwa nitolee hiyo na kombe mtalifukuzia Hadi dakika ya mwisho na hamtolipata.
Tielemans and luiz naomba waje hawa watu aseeee sijui nan atatusogolea
- Leandro Trossard
- Evan N’Dicka
- Youri Tielemans
- Douglas Luiz
All free agents next summer. All linked with Arsenal in the past.
mbna nasikia ameshapataNakubali mkuu, namuona Xhaka akiwa legend taratibu. Nasikia pia anachukua leseni ya ukocha maybe anaweza kurudi Arsenal kama kocha baadae.
AludiNyie takataka muna timu ya kawaida sana .. arse8 hii kubeba ubingwa labda Yesu aludi
leo tupo upande wenu msituangushempira bila ya utani (tambo) na kejeli za mashabiki hua haunogi kabisaaaa.
Ila kiukweli mnaupiga mwingi mpaka tunawaonea wivu ila mtambue tu kutangulia sio kufika.
Kuhusu City wala usiwe na shaka kabisa, timu zinazojifanya unbeaten sisi ndio kiboko yao, hata nyie Arsemnalitambua hilo.
Hivi hamis 77 amepotelea wapi?
Jamaa hua namkubali sana yule, kama wiki inafika sijamuona humu.
Kwenye mechi kubwa kama za leo sio kawaida yake kabisa kukosena kwenye hili jukwaa.
Huwezi kuwa serious, unaanzaje kusupport these Nyumbu.leo tupo upande wenu msituangushe
Utaki gap liongezeke kwanHuwezi kuwa serious, unaanzaje kusupport these Ny