am back mai pipo am back the gunners oyeee! Ushnd we2 kama kawa mai pipo nimerud tena MICHELLE, ARSENE WENGER NA WENGNE WENG VP 2PO PAMOJAA Liverpoll le6 hawik leo pamoja lakn
Anashangaza sana huyo jamaa(Mfarisayo)..........Sijui anafanya nini kwenye Arsenal Special thread ilhali hataki siye tuchangie kwenye jukwaa lao la Man Utd........
RVP anapoteza chance ambazo zinaweza kuzaa goli..... Kifupi hakuna formation ya kupata goli.... Tunacheza tu mpira..... Draw nayo ni hasara kwetu........

Hakuna sababu ya kupoteza a straight dominated game kama hii.... RVP hakuna makali kabisa pale mbele... Kati kati Diaby and the Co wanajitahidi sana.... nyuma ukuta umesimama imara.... Pale mbele ndo panatuangusha hatuna a great finisher...... Annggrrrrrr!!!!!!!!