Arsenal women naona wanaponda mtu km tutavyomponda jumamosiView attachment 2366776


Arsenyani kushinda hio jumamosi labda mcheze na Spurs Women.
Watapigwa kama ngoma paka wajute kuja ghetto, hazipungui goli nne.
Ulivyo na akili mbovu ukiangalia vizuri tu hapo si unaona kabisa kama kila mtu anashinda kwake au ndo akili imeganda.
Mtoto mbadi, gnabry ulimi nnjeSaka amehusika kwenye magoli yote 3 , rating performance 8/10 .. We have got bukayo saka
![]()
![]()
Kitu nilichokigundua mashabiki wengi wa Arsenyani hapa Bongo ni Wapemba na Wahaya.Arsenyani mnazidi kupeana matumaini
Game ya mwisho dhidi ya spurs tulikuwa pungufu nakumbuka cuz ilitukosesha Uefa, kikosi Ramsdale, Cedric, Holding, Gabriel, Tomiyasu, Elneny, Xhaka, Ø, Saka, Nketiah, Martinelli..Tuna sababu nyingi za kuwapiga Spurs Jumamosi, Kisasi cha msimu uliopita, Derby, tuko nyumbani, na mwisho kabisa ni ubora.
Ni moja ya mechi ambayo binafsi naisubiri kwa hamu na naamini matokeo yatakuwepo kama wachezaji wetu wote muhimu watakuwepo.
White, Saliba, Gabriel, Tierney
Ø, Partey, Xhaka
Saka Jesus Martinelli
Points 3 muhimu na mpira mkubwa ndani ya Emirates! Tusubiri Jumamosi.
Ukiangalia hiko kikosi hakikua kibaya, coz labda partey tu hapo midoGame ya mwisho dhidi ya spurs tulikuwa pungufu nakumbuka cuz ilitukosesha Uefa, kikosi Ramsdale, Cedric, Holding, Gabriel, Tomiyasu, Elneny, Xhaka, Ø, Saka, Nketiah, Martinelli..
so binafsi wakitoka Jmosi itakuwa ajabu la 8 la dunia.