Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

🗣️ @FabrizioRomano on the links with Arsenal and Raphinha this summer.

“Raphinha was the top priority. I think the biggest regret of the market for Arsenal was Raphinha. They wanted him. Raphinha was really open to discussing with Arsenal at some point.” [@QueGolazoPod] #afc
 
🗣️ @FabrizioRomano: “Douglas Luiz is a player #Arsenal wanted until the end of the [summer] window. They had three bids rejected on Deadline Day. In that position, central midfield, I think they’ll be back on some opportunities in January.” [@QueGolazoPod] #afc
 
Bukayo Saka was the star player for England against Germany this evening.

The Arsenal man was given a 9/10 despite only coming on for Phil Foden in the 66th minute.

He set up Mount's equaliser and was generally a threat throughout.

[SunSport's Etienne Fermie] https://t.co/m7y2fR2NtY
 
🗣️ Jamie Carragher kupitia talkSPORT

"Kama ukiwatazama Arsenal msimu huu wanaonekana kama wanaweza kuwania taji. Nimekuwa shabiki mkubwa wa Mikel Arteta, [napenda] sana jinsi alivyo jasiri.

"Baada ya usajili wa Gabriel Jesus na Saliba katika eneo la nyuma umeibadilisha kabisa Arsenal. Nadhani wanaweza kuwa karibu zaidi kushinda ubingwa wa EPL"
 
Arsenal confirm following specialist consultations, Emile Smith-Rowe underwent surgery in the past few days “to repair damaged tendon in his groin”. ⚪️🔴 #AFC

“Emile’s rehabilitation programme is already underway - hopeful for his return to full training in December”.
 
Arsenal vs spursy

usitegemee game kuiona nzur hata siku moja ila tegemea kuona arsenal ikicheza vizuri watacheza vizuri hadi game itabore maana ili game iwe nzr pande zote ziwe zinashambulia na zinaweza kumiliki mpira japo hata kwa dk tatu.

kitu spurs ambacho spursy hawez kukifanya kwa arsenal hii

so game itakua ya upande mmoja tu

Spursy ajiandae kula fimbo 3 safi
 
Arsenal vs spursy

usitegemee game kuiona nzur hata siku moja ila tegemea kuona arsenal ikicheza vizuri watacheza vizuri hadi game itabore maana ili game iwe nzr pande zote ziwe zinashambulia na zinaweza kumiliki mpira japo hata kwa dk tatu.

kitu spurs ambacho spursy hawez kukifanya kwa arsenal hii

so game itakua ya upande mmoja tu

Spursy ajiandae kula fimbo 3 safi
Counter attack za son na Kane ,ndio silaha za conte ....!!
 
Arsenal vs spursy

usitegemee game kuiona nzur hata siku moja ila tegemea kuona arsenal ikicheza vizuri watacheza vizuri hadi game itabore maana ili game iwe nzr pande zote ziwe zinashambulia na zinaweza kumiliki mpira japo hata kwa dk tatu.

kitu spurs ambacho spursy hawez kukifanya kwa arsenal hii

so game itakua ya upande mmoja tu

Spursy ajiandae kula fimbo 3 safi
Naam fimbo 3 safi
 
Counter attack za son na Kane ,ndio silaha za conte ....!!
Son wa misimu mi2 iliyopita Sio huyu wa misimu huu, muunganiko wake Na Jane ulikuwaga mzuri Na hatari Sana Ila Conte kaja Na mbinu zake kumuharibu mkorea.
 
🚨 Arsenal wamepokea habari chanya kuhusu utimamu wa Kieran Tierney kabla ya Derby ya London Kaskazini dhidi ya Tottenham Jumamosi na wana matumaini kwamba Thomas Partey, Oleksandr Zinchenko na Takehiro Tomiyasu wote wanaweza kupatikana, Football London inaripoti. [@kayakaynak97] #afc
 
🏆 Ni wakati wa kumpigia kura Mchezaji wetu Bora wa Septemba...

🇧🇷 Gabriel Yesu
🇨🇭 Granit Xhaka
🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Bukayo Saka
🇵🇹 Fabio Vieira

🗳 Piga kura sasa! Kwa kuingia kwenye website ya Klabu Arsenal
 
Kama kawaida Jiandae kujipiga ban baada ya kufungwa na Spurs.
Sawa , kahangaike na timu ya WAZEE kina auba Arsenal reject, kina zana kolibali,

Unapata wapi muda wakuijadili Arsenal wakati timu lako halina uhakika hata wakubeba point 1 kwa Kina Palace ,Leeds, Brentford
 
ARSENAL VS SPURSY

game haitakua nzuri , Coz itakuwa mechi ya upande mmoja, Imagine Chelsea mbovu msimu huu mechi waliyocheza vzr Ni dhidi ya Spursy,

kiufupi mechi ambayo itakuwa nzur katika ligi hii kwa huu msimu ni arsenal vs man city yaan hapo hamna mambo ya kuviziana mambo ya counter attack


Counter ni mchezo wa kutafuta ushindi ila hauipi ladha mashabiki katika kuangalia mpira

mnakumbuka kpnd kile na sisi tunategemea counter tulimfunga man city, Chelsea na liverpool (tunachukua Fa na Community shield) tulikua tunashangilia matokeo cz ni ya muhimu ila ladha ya kuangalia mpira haipo..

Tulienda na huo ujinga ,uzuri Ni style ya muda mfupi,
 
Partey akiwepo TU , timu yoyote inakula kichapo Cha uhakika

Arsenal January wataingia sokoni Kununua CM ,

Partey anahitaji fitness ya uhakika atusogeze had January

Akiwepo fit Partey had January uhakika nafas 2 za juu

Form yake dhidi ya big match haina mashaka , last season pale Emirates kabla Refa hajaharibu mech , Viungo wa city walimezwa

Mech dhidi ya Liverpool Emirates 1st half kabla Ramsadale hajaumia , Performance ya Partey ilikuwa ya juu dhidi ya Midfielders wa Liverpool


Mech za Chelsea ,man u huwa kina elneny, wanazimudu

Had January Kuna mech 12 za EPL , Tunamuhitaji Partey angalau mech 9-10 ,

IMG-20220929-WA0021.jpg
 
Back
Top Bottom