Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Rio Ferdinand Kuhusu (Ethan Nwaneri wa Arsenal)

"Nimesikia kutoka kwa makocha waliopo kwenye klabu na watu mbalimbali katika ngazi hiyo kwamba hakuna watoto wa miaka 15 katika kipindi cha miaka 10 hivi ambao wamepata uwezo ambao kijana huyu alionyesha.”
IMG_20220920_230015.jpg
 
Nasikia Partey kashaumia huko.
Huyu jamaa injury prone atafutiwe replacement dirisha dogo ,timu ikishaanza kupata chemistry anaumia,lokonga bado hatoshi hususani kwenye mfumo pendwa wa arteta wa 4231 wakucheza na double pivot unahitaji viungo wanyumbulifu na wepesi wa kuweza kupokea mipira kutoka back 4 na kufanya transition kwenda eneo la ushambuliajia kwa haraka
 
Knock Ni Kama iliyompata Odegaard wiki iliyopita , kesho anaweza kucheza mech ya kimataifa

Huu mchezo alioufanya partey ,ina maana Next match ya kimataifa kama watacheza siku 2 hiz itabid wasimtumie ,

Na 90% atakuwepo mech dhid ya Spurs
Good news
Hasa ukiangalia hiyo ni mechi za kirafiki,

Must be reasons behind
Cos as things stands: zin, Jesus, martinel, gab, partey
Hawa wote hawachez hizo mechi

Ode ni 50/50 kucheza
 
Huyu jamaa injury prone atafutiwe replacement dirisha dogo ,timu ikishaanza kupata chemistry anaumia,lokonga bado hatoshi hususani kwenye mfumo pendwa wa arteta wa 4231 wakucheza na double pivot unahitaji viungo wanyumbulifu na wepesi wa kuweza kupokea mipira kutoka back 4 na kufanya transition kwenda eneo la ushambuliajia kwa haraka
nashangaa kwa nin arteta na edu hawakuliona hili
 
🇺 🇵 🇩 🇦 🇹 🇪 🇸

𝐌𝐀𝐋𝐈𝐏𝐎 𝐘𝐀 𝐓𝐄𝐋𝐄𝐕𝐈𝐒𝐇𝐄𝐍𝐈 𝐊𝐔𝐓𝐎𝐊𝐀 𝐄𝐍𝐆𝐋𝐀𝐍𝐃 𝐏𝐑𝐄𝐌𝐈𝐄𝐑 𝐋𝐄𝐀𝐆𝐔𝐄:

*Arsenal wamepokea pauni milioni 145.7 katika malipo ya TV kutoka kwa premier league kwa mechi za misimu iliyopita ambapo Arsenal ilionyeshwa televisheni mara 29, ni Chelsea, Spurs, Liverpool na Manchester City pekee waliofanya zaidi lakini Arsenal kalipwa Prize money kuliko Chelsea.

Code:
1) Man city, mechi 28, £153.1m
2) Liverpool, mechi 29, £151.9m
3) Spurs, mechi 27, £146.1m
4) Arsenal, Mechi 29, £145.7m
5) Chelsea, mechi 24, £145.6m
6) Man United, mechi 28, £142.8m

* ✍️*
 
Huyu jamaa injury prone atafutiwe replacement dirisha dogo ,timu ikishaanza kupata chemistry anaumia,lokonga bado hatoshi hususani kwenye mfumo pendwa wa arteta wa 4231 wakucheza na double pivot unahitaji viungo wanyumbulifu na wepesi wa kuweza kupokea mipira kutoka back 4 na kufanya transition kwenda eneo la ushambuliajia kwa haraka
Mfumo pendwa wa Arteta ni 433. Lokonga anacheza vizuri mfumo wa 4231, kwa 433 anapata shida kidogo sababu anakuwa alone na ukizingatia bado mdogo.

Lokonga ana matatizo yake, ila wepesi na unyumbulifu si miongoni mwa matatizo yake.
 
nashangaa kwa nin arteta na edu hawakuliona hili
Sasa hivi timu inapata matokeo baadhi ya madhaifu hayaonekani ila pale asipokuwepo partey katikati panakosa utulivu ndio maana arsenal ana struggle kwenye big match kupata matokeo ,ligi ni long run inabidi kila eneo uwe na wachezaji wengi wenye quality inayofanana kwa ajili ya rotation au incase of injury mfn City, sasa kwa viungo wa pale wazuri ni xhaka na partey akiumia mmoja panapwaya kati pale dirisha dogo waingie sokoni kuongeza nguvu kati pale
 
hasa hasa partey hana mtu wa kumreplace kbsa elneny na lokonga naona nao bdo
 
Thomas Partey will return to London & will not feature in Ghana’s friendly against Nicaragua on Tuesday. He will undergo a scan on his knee, however, it is suspected that it is not serious. [@GabbyDarko] #afc
 
Nilisema Jana ilikuwa janja janja ya arsenal ajifanye Kuumia ,ili akose mech ya 2,jumanne, Kisha arud london ,na Tomiyasu kafanyiwa hivo

Timu za taifa hata posho hazitoi ,halafu akiumia anasukumizwa akatibiwe arsenal

UPDATE: sources close to Partey insist the decision to take him out of the Brazil game was purely precautionary as Ghana did not want to take any risks with their star man.

They insist that there is nothing to worry about and that he should be fine to feature against Spurs immediately after the international break.

[Charles Watts]
 
Back
Top Bottom