Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kazi ipo jumapili wadau wenzangu..coz hao liver nimewacheki leo wanatisha. #arsenal

Kazi mnayo, Arsenal Vs Pool,Hotspur,Bolton,Man U,Stoke kwanini msirudi katika nafasi yenu mliyoizowea (Fourth ).Waacheni Man U (Big Boyz) wabusu mwali bila presha,mwaka huu hamna chenu mna bwela bwela tu,jaribuni tena mwakani.
 
Njaa tupi Emirata...mtauza hadi uwanja hivi karibuni. Mpira sio pasi tu, mpira magoli.
 
Njaa tupi Emirata...mtauza hadi uwanja hivi karibuni. Mpira sio pasi tu, mpira magoli.
Na ma silverware, sio kubwela bwela tu uwanjani.Mpaka mchezaji ana zeeka aja lift kikombe.
 


...bro, "kumbikumbi" wanakuhangaisha sana hawa ee? Wao huibuka siku za mvua tu.
Jua linapokolea utamuona Eqlypz, Manda na Peasant tu hapa.
Sihangaiki kukaushwa koo na wao bana.
 
<p> </p>
<p>&nbsp;</p>

Hahahahaha! punguza munkari kijana, timu yenu inahitaj kujivua gamba likizo ndefu ikifika, gamba lenyewe ni AW.
BTW bdae karibuni Stretford End, kona ya wanazi wa kutupwa wa OT...mwambie na anko Wacha Moja asikose mtanange, aje
ashuhudie tunavo mtahiri mtu bila ganzi.
Michelle abaki nyumbani kumpikia Bubu K, AW asikose, ila asije amevaa Fly Emirates, ataishia getini, aje mm ntampa AOL...
Kwa Mzuka wa Questt bora abaki home na Skysports.
Kama ujatajwa cheki na Eqlpz kwa complementary tikets.
Mzuuuuux!
 

Unachongaa sana mkuu lol. Powa una haki ya kuchonga kwa sasa.
 
<p></p>
<p>&nbsp;</p>

...mwambie na anko Wacha Moja asikose mtanange, !

Wacha one wacha waone wenyewe.Maneno mingi mingi mnafikiri vikombe vinachukuliwa kwa maneno na umbea? imekula kwenu mwaka huu njomba.Vikombe vya mdomoni vimepukutika vyote mmebaki oh! epl letu,lenu mna droo na TEN MEN (Blackburn) Arsenal 0-0 Blackburn.You are not serious
 

Wacha umbeya wewe jitu kubwa akili hovyo! khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee unaelewa maana ya league wewe?
 
Wacha umbeya wewe jitu kubwa akili hovyo! khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee unaelewa maana ya league wewe?
Kumbe wewe ndio Wacha one wacha waone wenyewe.khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Watani poleni kwa msiba wa Fiszman.

Wote ni wapita njia tu shukran, .... ..... ndio sababu uliona board waliamua Stan anunue share zake maana hali yake haikuwa nzuri ili kuwe na stability. good move. More details @ New Era at the Emirates.
 
....duhh, 'Ghafla bin vuu' majeruhi karibia wote wapo 'fit' kucheza Vs Liverpool Jumapili,
kuanzia;

TV5 - Thomas Vermaelen, Johan Djourou, Alex Song, na Szczesny...
mnh, habari njema hizi washika bunduki wenzangu.
 
The Gunners Vs The Kop
4:00pm GMT (16h00)

....kitaeleweka tu! Come on Arsenal!!!


...Together We Stand!

 
....duhh, 'Ghafla bin vuu' majeruhi karibia wote wapo 'fit' kucheza Vs Liverpool Jumapili,
kuanzia;

TV5 - Thomas Vermaelen, Johan Djourou, Alex Song, na Szczesny...
mnh, habari njema hizi washika bunduki wenzangu.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…