Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,209
Naona uzembe wa mabeki umewapa jamaa goli
Naona uzembe wa mabeki umewapa jamaa goli
Wakulu mpo,
Najaribu kuingia online hapa Benghazi.
Watu wanasema Arsenal wana "easy run-in" kutafuta ubingwa lakini bado tuna game ngumu sana.
Tuna game nyumbani na Liverpool halafu Tottenham tena kwao.
Mkuu Wenger hii imekaaje?
Naona uzembe wa mabeki umewapa jamaa goli
Nahisi kaarufu kagoli la pili kwa blackpool
Si ndo zenuNaona uzembe wa mabeki umewapa jamaa goli
Yesssssssssssssss safi sanaaaaaaaaaa
Nafasi nyingi tumepoteza, tunapenda sana kujiweka katika hali ngumu.
Mpira wetu hauna malengo kabisa.
Maskini mmekosa kabisa matumaini ya hata mechi za mchangani mnashangilia kwa wasiwasi mkubwa
Kuwa fair mkuu, sema na Blackpool nao wamepoteza nafasi nyingi.
Maskini mmekosa kabisa matumaini ya hata mechi za mchangani mnashangilia kwa wasiwasi mkubwa