Mkushi w jani
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 1,896
- 1,698
KWETU NI FURAHA ILI WASIJE KUUMIAHizi Gabriel 3 za Asenyeto hakuna hata moja iliyoitwa timu ya taifa.
View attachment 2354631
KWETU NI FURAHA ILI WASIJE KUUMIAHizi Gabriel 3 za Asenyeto hakuna hata moja iliyoitwa timu ya taifa.
View attachment 2354631
Kwa Friendly match mkuu. Bora wabaki London tu hao ndiyo 1st 11 wa kocha wao na anawahitaji kombe la Dunia. Sasa anatest mitambo kutafuta ma subHizi Gabriel 3 za Asenyeto hakuna hata moja iliyoitwa timu ya taifa.
View attachment 2354631
Yeah........Kwa Friendly match mkuu. Bora wabaki London tu hao ndiyo 1st 11 wa kocha wao na anawahitaji kombe la Dunia. Sasa anatest mitambo kutafuta ma sub
Kulikuwa na uhaba wa askari wa kulinda usalama ndani ya uwanja......... kutokana na wengi kupangiwa majukumu mengine ktk msiba wa malkia ndo maana mechi ikaahirishwaivi jana tatizo gani limetokea jaman hadi game letu kuwa postponed
Aaaah ok poa shukrani bossKulikuwa na uhaba wa askari wa kulinda usalama ndani ya uwanja......... kutokana na wengi kupangiwa majukumu mengine ktk msiba wa malkia ndo maana mechi ikaahirishwa
I like Thomas Frank is the one of the top tacticians itl, however, Arsenal must win this game to stay on top of the league.️Brentford manager Thomas Frank on Mikel Arteta’s #Arsenal: "We are playing against a very good side. It was one thing to beat them a year ago. For me, now, after Manchester City, they are the best performing side in the Premier League.”
Thomas Frank: “I said to the players today that we will need to be able to suffer and defend very well... No doubt this will be our biggest challenge so far.”
Arsenal![]()
Huyu jamaa mtu sana akiwa fit sidhani EPL kama kuna kiungo wa chini mwenye uwezo kama wake