Kelp B
Member
- Sep 12, 2022
- 80
- 210
Kuna uwezekano mechi ya kesho akawepoJamani Zinchenko nae vipi, naskia nae anauguza majeruhi.
Source; The sun
Kuna uwezekano mechi ya kesho akawepoJamani Zinchenko nae vipi, naskia nae anauguza majeruhi.
The Mighty Arsenal still on top of the table and nobody can take us down, i sound arrogantly tho.![]()


Mashabiki wa ArseNyani banaaaa, nyie ni Comedian by nature. Hilo bango lenu Guardiola kila akiliona hua anacheka mpaka anaanguka chini.
Unaumia ukiwa wapi?Mashabiki wa ArseNyani banaaaa, nyie ni Comedian by nature.
Haya on top of the table tayari ameshakaa mwenye ligi yake, kesho mnang'atwa na nyuki halafu wiki ijayo Spurs nae anawashikisha ukuta.
Tena mnatakiwa mshukuru kifo cha Malikia Elizabeth ndio kimewabakiza hapo kwa wiki moja, la sivyo hizo mechi zenu zilizoahirishwa za Man City na Everton ndio zingewaondoa hapo juu.
Pep mwenyewe anamjua Arteta uwezo wake ulivyoHilo bango lenu Guardiola kila akiliona hua anacheka mpaka mpaka anaanguka chini.View attachment 2359857
Oh yeahThe Mighty Arsenal still on top of the table and nobody can take us down, i sound arrogantly tho.![]()
Yaani wewe jamaa hua nnahakikisha kwanza na like comment yako kisha ndio nnaanza kuisoma, yaani mashabiki wa Arsenal wote wangekua kama wewe hii timu ingekua inapendwa kuliko timu yoyote duniani.Brentford sio timu rahisi kucheza nayo tena ukiwa ugenini.
Tunaenda kucheza mechi ambayo kwa haraka naweza kusema ni kama ile ya Newcastle ya msimu uliopita, ni ngumu na inahitaji nguvu kubwa kuondoka na points zote 3.
Mbali na kuwa na wachezaji wazuri, Brentford ina moja kati ya mwalimu mzuri sana kwenye EPL, Thomas Frank ni bonge la kocha (tactically) japo kwa Mikel bado haingii.
Okay, iko hivi.. Kwa kidogo nilivyowaona Brentford, watajaribu kuanzia kucheza nyuma ila kwa jinsi tulivyo na system nzuri kwenye kukabia juu lazima tutawalizimisha kupiga mbele huku wakitegemea mipira ya kutua (second balls) ili wachukue washambulie.
David Raya na Ivan Toney watakuwa sumu kwenye hii mechi, hivyo inabidi tufanye kazi sana kuiwahi mipira iliyotua kwa ajili ya kupanga mashambulizi au kucontrol gemu.
Matokeo kwenye hii mechi yatapatikana baada ya kuvuka hatua ya kwanza na hatua ya pili kwenye kupanga mashambulizi (kwenye letu na katikati) ni mechi ambayo tunahitaji defense na midfield ziwe kwenye ubora wa 101%.




Unataka uhamie arsenyeto nnYaani wewe jamaa hua nnahakikisha kwanza na like comment yako kisha ndio nnaanza kuisoma, yaani mashabiki wa Arsenal wote wangekua kama wewe hii timu ingekua inapendwa kuliko timu yoyote duniani.
Binafsi hua nnakukubali kinoma hamis77 yaani laiti kama mashabiki wangekua wanasajiliwa na timu ningekupambania kwa Glazers family wahakikishe wamekusainisha kwenye timu kubwa zaidi duniani, ni hazina kubwa sana kwenye timu kua na shabiki mwenye kaliba yako.
Hakika wewe sio tu shabiki wa mpira bali ni mpenzi wa kandanda ila nasikitika tu hilo timu ulilochagua kulishabikia linaweza kukusababishia magonjwa ya moyo au bipolar disorder.




