Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,721
Mikel Arteta juu ya ushindi:
"[Nina] furaha sana na matokeo, ni ngumu sana kushinda katika ligi hii. Nadhani kipindi cha kwanza labda kilikuwa moja kipindi bora zaidi ambacho tumecheza, tungeweza kufunga [mabao] matatu, manne, matano. Hatukuua mchezo na basi mchezo ukawa hai kipind cha pili." [BT] #afc