Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ikitokea tunashindwa kupata points 3 kwa villa kisa partey hayupo

Basi hakuna ulazima kwenda kuwapigia watu kelele kwenye majukwaa yao
 
kuna umuhimu wa baadhi ya mechi nketiah kuwa anaanza na jesus.kidogo nketiah namuona clinical kuliko wote hapo mbele
 
Back
Top Bottom