Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Hakuna sehemu nimesema wanalipa hiyo hela ,Arsenal hawawezi kulipa 80M pauni ikiwa wameshindwa kulipa 75M pauni kwa Ruben Neves.
Kumbuka Arsenal wapo kwenye mkakati wa kupunguza wage bill.
Hiyo Ni release clause ya mchezaji,
Ukufanya negotiation unamchukua kwa reseonable price
Thus why Kuna taarifa Arsenal wametuma ofa ya £20m na palmeras hawataki kumuuza ,wakilingia kipengere Cha RC ya €100m
Kuna kipind alikuaga wa moto, Barcelona waamtakaga kwa dau nono tukakataa, tungejua kifuatacho itv tungemuacha tu aende

