Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,384
Just finished reading a novel by Flora Nwapa titled “ one is not enough”
Nimependa reaction yetu
Nketiah anajua ball.
Nketia na ESR watakuwa wachezaji wakubwa sana Arsenal.. Hawa wawili ni finisher wazuri sana... Yule Smith Rowe angekuwa anapata playing time ya kutosha angekuwa na goli nyingi sana mpaka Sasa.. ana bahati mbaya Kuna Odegaard kwenye namba yake ambaye anakupa vitu vingi zaidi ya kufunga tu!.. Msimu unaokuja Nketia atatisha sana kama ana yofanya Martinell Sasa.Nketiah anajua ball.
Hajaumia. Alikuwa kachoka. Amepumzishwa.Ode injury tena dah sijui itakuaje
Hajachezasijaangalia mechi,vieira vip amecheza?.dirisha la usajili linafungwa leo au kesho?
Hajacheza na dirisha ni keshosijaangalia mechi,vieira vip amecheza?.dirisha la usajili linafungwa leo au kesho?
Ataanzia Europa next weeksijaangalia mechi,vieira vip amecheza?.dirisha la usajili linafungwa leo au kesho?