Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Mzee baba tunapiga wote hao akiwepo na nyumbuLeo ndio mwanzo wa mwisho wao kukalia kiti cha uongozi wa ligi.
Leo akijitahidi sana ni draw halafu ana mechi nyingine 3 mbele za kukosa ushindi.
AsaniWali, AsaniUbwabwa, AsaniMandondo leo ndio mwanzo wenu wa kutumia mkongojo halafu jumapili mnapasuka si chini ya goli 4.View attachment 2341046