Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Excl: Southampton are closing in on Ainsley Maitland-Niles deal. It’s set to be completed on loan with buy option as Arsenal contract will be extended. [emoji599][emoji836]️[emoji837] #SaintsFC

Talks ongoing on player side, then medical soon to get the deal done.
Bado wana punguza[emoji2][emoji119][emoji119]
 
Midfield ya Lokonga + Zinchenko sio mbaya paka Partey & El neny kurecover, binafsi ningependa tusajili Right Winger & Tielemans.
Bado Arsenal wahitaji CM na RW kuziba nafasi ya Pepe.

Anything could happen between now na mwisho wa dirisha la usajili kufungwa.

Pedro, Neves na Danilo haiwezekani ni too late.

Gakpo nae kazungumzwa.

Wamebakia Youri Tielemans wa Leicester, Matt O' Riley wa Celtic na Miralem Pjanic wa Barcelona.

Hata hivyo kuna Weigl wa Benfica ambae huenda akawa ndo mwenye ada ndogo sana kama 13M hivi.

Lolote laweza kutokea ndani ya masaa machache yalobaki.
 
Nyie endeleeni kupeana matumaini...Leo mnaenda kuachia nafasi ya wanaume
 
Nyie endeleeni kupeana matumaini...Leo mnaenda kuachia nafasi ya wanaume
Lengo la Arsenal ni kushinda mechi 5 za mwanzo. Kicha kuangalia mechi zinofuata.

Tukishinda leo ni 15 points already.

Steven Gerard atakuja na defensive game na counter attack, wakiwatumia Coutinho na Watkins.

Arsenal tupo tayari ingawa itakuwa ni tough game nyumbani Emirates.

COYGs!!!
 
🚨Arsenal are working on a deal for Palmeiras midfielder Danilo ahead of tomorrow’s deadline

(@SamiMokbel81_DM ) - TIER 1 🌕
 
Bado Arsenal wahitaji CM na RW kuziba nafasi ya Pepe.

Anything could happen between now na mwisho wa dirisha la usajili kufungwa.

Pedro, Neves na Danilo haiwezekani ni too late.

Gakpo nae kazungumzwa.

Wamebakia Youri Tielemans wa Leicester, Matt O' Riley wa Celtic na Miralem Pjanic wa Barcelona.

Hata hivyo kuna Weigl wa Benfica ambae huenda akawa ndo mwenye ada ndogo sana kama 13M hivi.

Lolote laweza kutokea ndani ya masaa machache yalobaki.
Duuuh mie maombi yangu yte yapo kwa tielemans tu
 
Danilo

Anacheza no.6 Ile ya Partey vzr anacheza pia AM

Ni presser resistant

Ni passer mzuri

Ukimuangalia unamuona Ni Partey na Odegaard kwa pamoja

Arsenal wanapambana kumleta ,ana release clause ya €100m

Arsenal wanapambana wamlete kwa Bei chee

Ana miaka 21 ,Ni mbadala wa Partey kwa miaka 10

Tukimpata huyu ,itakuwa hatari pale Kati
 
MUANGALIEN HAPA CHINI DANILO

A number 6 so athletic and intelligent that he arrives in the box and scores. 7 goals this season. One special talent. Danilo dos Santos.💎

Danilo

Anacheza no.6 Ile ya Partey vzr anacheza pia AM

Ni presser resistant

Ni passer mzuri

Ukimuangalia unamuona Ni Partey na Odegaard kwa pamoja

Arsenal wanapambana kumleta ,ana release clause ya €100m

Arsenal wanapambana wamlete kwa Bei chee

Ana miaka 21 ,Ni mbadala wa Partey kwa miaka 10

Tukimpata huyu ,itakuwa hatari pale Kati
Arsenal hawawezi kulipa 80M pauni ikiwa wameshindwa kulipa 75M pauni kwa Ruben Neves.

Kumbuka Arsenal wapo kwenye mkakati wa kupunguza wage bill.
 
Nilikua najiuliza kati ya Arteta na Edu nani ana nguvu katika usajili, ila sasa nimepata jibu
naona Edu anataka kutujazia wabrazil sema sio mbaya
 
Arsenal hawawezi kulipa 80M pauni ikiwa wameshindwa kulipa 75M pauni kwa Ruben Neves.

Kumbuka Arsenal wapo kwenye mkakati wa kupunguza wage bill.
Hakuna sehemu nimesema wanalipa hiyo hela ,

Hiyo Ni release clause ya mchezaji,

Ukufanya negotiation unamchukua kwa reseonable price

Thus why Kuna taarifa Arsenal wametuma ofa ya £20m na palmeras hawataki kumuuza ,wakilingia kipengere Cha RC ya €100m
 
Wa mwisho ni Hector Bellerin ambae Barcelona wanamtaka na Arsenal hawataki aende "as free agent" ikifika January.
Nilisha msahau kumbe yupo[emoji2] Kuna kipind alikuaga wa moto, Barcelona waamtakaga kwa dau nono tukakataa, tungejua kifuatacho itv tungemuacha tu aende
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom