Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Partey anatakiwa kuuzwa next season kama team inataka kuachieve big trophies last season alionyesha kuwa ni mtu wa pancha na season hii atakosa at least 4 or 5 games na kacheza games 4 pekee sasa katika mechi 30 zilizobakia atacheza ngapi?huko mbeleni EPL inakuwaga ngumu sana watu wanapambana sasa kama team tunamtegemea Partey akikosekana matatizo yanakuwa makubwa, Elneny na Lokonga sio wa kuwaamini hapo kati sababu Elneny ana games zake kuna siku anaperform refer game ya Manchester United ile ya away baada ya hapo anasinzia na leo ni deadline ya registration let's wait and see tuone nini kitatokea

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Wasiposajili mid nyingine leo ni na hatuna lolote tutaambulia this season pamoja na kuanza vizuri. Kufikia malengo ni pamoja na kuhakikisha majeruhi wanakuwa wachache sana, hatusemi timu itakaa bila majeruhi lakini kwa huyu jamaa ni too much, hawezi kukupa 30 games kwa msimu, hafai.
 
Charles Watts | Tathmini ya kwanza ya majeruhi ya Partey inaonyesha atakuwa fiti baada ya wiki mbili, Mchezo dhidi ya Man United wikiendi hii ni moja kati ya wiki atakazo kuwa nje.
Elneny anafanyiwa tathmini ya muda atakao kaa nje baada ya kuumia misuli.

Arsenal wanataka ijulikane mapema ili wafanye maamuzi kabla ya dirisha la usajili kufungwa.

Kuna uwezekano Zinchenko akawepo kwenye mchezo wa kesho dhidi ya Aston Villa.

Partey atakosekana kwa wiki kadhaa, ila majeruhi yake ni madogo.
 
Youri anunuliwe tu, there's no way timu ika rely kwa pancha, unless we need to be a mediocre team, laa sivyo aje mtu wa kumpa Partey competition.

25 million pounds for Youri seems relevant, given that he's just 25yrs old, hata kama mkataba wake unaisha next yr
 
Mashabiki tunashindwa kuelewa kitu kimoja, sio Arteta wala Edu mwenye hayo mamlaka, Edu akipewa go ahead analeta mchezaji, asipopewa unataka atoe yake mfukoni, hizi projects zina mikakati yake, huenda board ilishakaa na kuamua no signings in January, tutasubiri hadi summer unless kuwe na significant need. Sisi tunabaki kulalama ooh Arteta ooh Edu.
Siku ile edu anajinasibu. Haya maelezo sikuyasikia alisema as if yeye na Arteta ndo kila kitu, na kila kilicho tokea kwenye dirisha lililopita n sehemu ya project yao na bodi imewapo go ahead so wana power..

na alisema pia kwamba bado wapo sokoni na hili ata Arteta mwenyewe alithibitisha so maana yake wao ndo wako front bodi imesha wapa authority so wanawajibika
 
Youri anunuliwe tu, there's no way timu ika rely kwa pancha, unless we need to be a mediocre team, laa sivyo aje mtu wa kumpa Partey competition. 25 million pounds for Youri seems relevant, given that he's just 25yrs old, hata kama mkataba wake unaisha next yr
Kwani youri n Dm!? yule nafkir tulikua tunamtaka Kama mbadala wa xhaka
 
Kwani youri n Dm!? yule nafkir tulikua tunamtaka Kama mbadala wa xhaka
Hizi ni stats za mechi 50 alizocheza. So yeah, anaweza kucheza kama DM.
Screenshot_20220831-100228_Chrome.jpg
 
El_cholo ni mjanja Sana,,,,alijua huyu jamaa ana record ya majeruhi,,,! Nyie mkajaa kichwa kichwa !!!

Tom PArtey soon ataingia kwenye levo za kina ox, thiago, cavani, keita, n.k! When he is there anaprovide 100%, tatizo pancha !!!! PArtey huyu mnaemuimba hawezi kucheza mechi 8 consecutively,,,,, !! Epl Ni long run!!!

Ingie sokoni chap, au zameni hapo king power mumchukue Ndidi,,, !!

Machungu ya EPL mtaanza kuyaona kwa bwana stive G, mechi zilizopita hana matokeo mazuri, atawakamia Sana na hii mido yenu ya lokonga !!!
 
Naona wapinzani hasa manyumbu mnaumia saana sisi kushinda mechi zetu 4 za kwanza na kuongoza ligi..

Mlitaka na sisi tuanze vibaya km mlivyoanza nyie?
Mwaka jana tuanza vibaya mkaongea sana.. sasa mnatakaje?

Tunajua ligi bado ni mbichi, sasa mbona mnaumia sisi kukaa juu? Mbona nyie mlikaa msimu ulioisha kwa mechi za kwanza mkawa mnajiita 'tittle contenders'!

Sisi tunasema hivi.. mwaka huu mtaumia sana nyie maibilisi wekundu!

Na game ya jumapili tunakuja kuwafunga pale pale nyumbani kwenu hata kama tukiwa pungufu, tuwaonyeshe mwaka huu tumekuja vipi!

Pumbaaf kabisa!
Jipeni moyo tu, ila pale Trafford mnakuja kula 8 nyingine, kama zile za mwaka 2011.
 
El_cholo ni mjanja Sana,,,,alijua huyu jamaa ana record ya majeruhi,,,! Nyie mkajaa kichwa kichwa !!!

Tom PArtey soon ataingia kwenye levo za kina ox, thiago, cavani, keita, n.k! When he is there anaprovide 100%, tatizo pancha !!!! PArtey huyu mnaemuimba hawezi kucheza mechi 8 consecutively,,,,, !! Epl Ni long run!!!

Ingie sokoni chap, au zameni hapo king power mumchukue Ndidi,,, !!

Machungu ya EPL mtaanza kuyaona kwa bwana stive G, mechi zilizopita hana matokeo mazuri, atawakamia Sana na hii mido yenu ya lokonga !!!
Mkuu Partey hakuwa mchezaji wa majeraha alipokuwa Spain, alikuwa anakichafua msimu mzima labda akae nje Kwa ajili ya squad rotation tu

Kwahiyo kusema El cholo ni mjanja kumuuza jamaa kisa anajua ni Mzee wa Pacha sio kweli, na istoshe jamaa hakutaka kumuuza bali Partey mwenyewe tu alifosi kuondoka

For the record jamaa amekosa mechi 6 tu Kwa sababu za majeraha akiwa pale atletico, na ametumika miaka 3 mfululizo non stop bila kuwa na shida yoyote ile

Me nadhani nahisi labda Issue yake na ndugu yake Essien zinataka kufanana, labda umri wao wa ukweli na ambao sie tunaujua ni tofauti na kupelekea kupata matibabu tofauti na umri wao

Inawezekana ndio ikawa mwisho wake umefika sasa, hapo ata atibiwe vipi itakuwa ni swala la mechi 4-5 wahuni wanagusa tena jeraha anarudi kutibiwa
 
Masaaa yamebak, naona tetesi zinaendelea, kwahiyo Partey na Mo wasingepata majeraha usajili ulikuwa imeisha ee
 
As per journalist Nicolo Shchira, Arsenal are closing in on the signing of winger Mykhaylo Mudryk from Shakhtar Donetsk. The Gunners have agreed on personal terms with the player for a contract until 2027 and could seal a €30 million move in the ongoing transfer window.
 
Ger
El_cholo ni mjanja Sana,,,,alijua huyu jamaa ana record ya majeruhi,,,! Nyie mkajaa kichwa kichwa !!!

Tom PArtey soon ataingia kwenye levo za kina ox, thiago, cavani, keita, n.k! When he is there anaprovide 100%, tatizo pancha !!!! PArtey huyu mnaemuimba hawezi kucheza mechi 8 consecutively,,,,, !! Epl Ni long run!!!

Ingie sokoni chap, au zameni hapo king power mumchukue Ndidi,,, !!

Machungu ya EPL mtaanza kuyaona kwa bwana stive G, mechi zilizopita hana matokeo mazuri, atawakamia Sana na hii mido yenu ya lokonga !!!

Astonvilla anakufa vzr mido hata akikaa Ben White

Na pass zitapigwa 500+

Tuna option nyingi za kucheza Kati Kati

Japo kusajiri lazima,

Huyo lokonga unayemuona mbovu, msimu Jana baada ya kupoteza game 3 ,yeye Ndiye alikuwa kiungo kwa takriban mech 10 tukipoteza 1 na sare 1 au 2

Shida ya Arsenal haikuwa Partey pekee ,tulikuwa na Shida pia ya LB na RW Nafas ambazo zimezibwa

Pengo la Partey ,mudy alilikamatia vzr kwa uwezo wake had akaongezewa MKATABA

Ndio maana mech na Fulham amecheza mudy na Timu imemilik mpira kwa 70+% na pass 500+

Tunahitaji mbadala wa Partey wa muda mrefu , Ila hizi mech kina Astonvilla,Fulham, n.k Lokonga anacheza vzr tu

Although Mikel Arteta & Arsenal would like cover out wide, a midfielder will be their priority. [@NickAmes82, Guardian] #afc
 
Back
Top Bottom