Elneny si kaumia pia?Mechi ya kesho.
Again. No Zinchenko. No Partety.
Wanaachwa wapone vizuri kwa ajili ya game ya weekend.
Nina uhakika tutamaliza na point zote 3 dhidi ya A. Villa
Elneny si kaumia pia?Mechi ya kesho.
Again. No Zinchenko. No Partety.
Wanaachwa wapone vizuri kwa ajili ya game ya weekend.
Nina uhakika tutamaliza na point zote 3 dhidi ya A. Villa
kaka laiti Edu na arteta wangekuwa na mawazo kama yako timu, ingekuwa mbali sana, naona hawa wawili wametulia tu mpaka viungo tegemezi wanaumia, wao hawachukui hatua zozote zaidi ya ukimya.Jins Chelsea na man u wanavyocheza wapo kund moja na kina astonvilla,Fulham,
Tukiongeza CM mmoja na RW tutatoa doz Sana
Mechi za kimkakati Ni mbili tu Liverpool and city
Tushukuru Elneny kaumia bado dirisha Waz , hivo wamekuwa forcedkaka laiti Edu na arteta wangekuwa na mawazo kama yako timu, ingekuwa mbali sana, naona hawa wawili wametulia tu mpaka viungo tegemezi wanaumia, wao hawachukui hatua zozote zaidi ya ukimya.
Si mnasema hana IQ ya mpira? Vipi tenaNauona mwisho wetu wakufanya vizuri umefika sasa Tom Partey pengo lake halizibiki kwa sasa huo ndio ukweli games zinazofuata bila Partey tutadondosha point nyingi angalia game ya fulham pengo la Tom limeonekana almanusura tupoteze point tukawin kwa tiatia maji kuumia kwa Tom kwa sasa gunners tupo katika wakati mgumu.
Hizo ndio habari tunazitaka humuHuenda leo Arsenal ikatafuta mbadala wa muda mrefu wa Partey
Anatajwa Danilo wa palmeras
Arsenal haitaki Mambo ya short term
Mazungumzo yanaendelea leo

Kumbuka Edu na Arteta wanaweka proposals zao mezani, board na mwekezaji ndio wanaamua kutokana na budget na project iliyopo, wenzetu hawafanyi kazi bila projections.kaka laiti Edu na arteta wangekuwa na mawazo kama yako timu, ingekuwa mbali sana, naona hawa wawili wametulia tu mpaka viungo tegemezi wanaumia, wao hawachukui hatua zozote zaidi ya ukimya.
Mchezaji mzuri kama Partey kuwa pancha kunampunguzia credits sana, hata soko lake linashuka, kifupi ukimuweka sokoni leo pamoja na talent aliyonayo hana bei.Hizo ndio habari tunazitaka humu
Incase partey akiumia tusikose balance![]()
Mashabiki tunashindwa kuelewa kitu kimoja, sio Arteta wala Edu mwenye hayo mamlaka, Edu akipewa go ahead analeta mchezaji, asipopewa unataka atoe yake mfukoni, hizi projects zina mikakati yake, huenda board ilishakaa na kuamua no signings in January, tutasubiri hadi summer unless kuwe na significant need.Jinsi Arteta na Edu walivyo tufanya January, sitashangaa tusipo sajili leo, washenzi viburi sana wale
..
Mda ndo huu unayoyoma, yamebak masaa, shit![]()
Partey anatakiwa kuuzwa next season kama team inataka kuachieve big trophiesMchezaji mzuri kama Partey kuwa pancha kunampunguzia credits sana, hata soko lake linashuka, kifupi ukimuweka sokoni leo pamoja na talent aliyonayo hana bei. Mechi nne yupo sidelined kwa majeruhi, he can't give you 30 games kwenye season, haifai hata kidogo, kina Xhaka wanaweza kukipiga hata 40 matches bila majeruhi makubwa. Long term replacement ya Partey ni lazima.
last season alionyesha kuwa ni mtu wa pancha na season hii atakosa at least 4 or 5 games na kacheza games 4 pekee sasa katika mechi 30 zilizobakia atacheza ngapi?huko mbeleni EPL inakuwaga ngumu sana watu wanapambana sasa kama team tunamtegemea Partey akikosekana matatizo yanakuwa makubwa, Elneny na Lokonga sio wa kuwaamini hapo kati sababu Elneny ana games zake kuna siku anaperform refer game ya Manchester United ile ya away baada ya hapo 
anasinzia na leo ni deadline ya registration let's wait and see tuone nini kitatokea