Sidhani sababu naona arteta anapenda kutumia beki mmoja wa kati anaetumia mguu wa kushoto.Upo sahihi.
Watu wengi wamelipoint hilo jana.
Nafikiri mechi yetu dhidi ya Bournemouth alirudishiwa mpira akaupiga kichwa ila haukwenda mbali, nilikua na washkaji nikasema Magalhaes hua ana maboko ya mtindo huu.
So kuhusu kuchoma ni kweli. Kuhusu yeye kua beki mzuri ni kweli pia.
Na sisi mashabiki tunatamani ajirekebishe. Siku wakiwekwa Saliba na White inawezekana Magalhaes akajikuta anastruggle kurudi kikosini.
Mdogo mdogo mtaanza kuokota mkopo ,Arsenal itashinda vikombe vya Champions league mara nyingi kwa hii miaka kumi ijayo kuliko timu yoyote, na hutoandika tena huu upuuzi, mark my words.



🗣Bukayo Saka akijibu baada ya ushindi wa #Arsenal dhidi ya Fulham:
"Sote tuna njaa ya kushinda kila mchezo. Tutaendelea hivi kwa msimu mzima. Tunajua jinsi Ligi Kuu ilivyo ngumu. Tunaangazia mchezo unaofuata, mchezo unaofuata na unaofuata." 💯
Nauona mwisho wetu wakufanya vizuri umefika sasa Tom Partey pengo lake halizibiki kwa sasa huo ndio ukweli games zinazofuata bila Partey tutadondosha point nyingi angalia game ya fulham pengo la Tom limeonekana almanusura tupoteze point tukawin kwa tiatia maji kuumia kwa Tom kwa sasa gunners tupo katika wakati mgumu.Kama kweli Partey atakua wodin game 5, zinampita hivi hivi
ni wazi amekua mpuuzi sasa
Kwa lugha nyepesi anatugharimu
Bila partey nyumbu watarukaruka sana pale kati
Partey achezeshwe hivyo hivyo game na nyumbu
Duuuh hivyo hivyo mzeeKama kweli Partey atakua wodin game 5, zinampita hivi hivi
ni wazi amekua mpuuzi sasa
Kwa lugha nyepesi anatugharimu
Bila partey nyumbu watarukaruka sana pale kati
Partey achezeshwe hivyo hivyo game na nyumbu
Hili ni tatizo sugu la hii timu, just 4 games majeruhi yameanza.
Mdogo mdogo mtaanza kuokota mkopo ,![]()



hawa Mirembe FC mpaka mchana wa jua kali wanaota ndoto za kutisha.Nauona mwisho wetu wakufanya vizuri umefika sasa Tom Partey pengo lake halizibiki kwa sasa huo ndio ukweli games zinazofuata bila Partey tutadondosha point nyingi angalia game ya fulham pengo la Tom limeonekana almanusura tupoteze point tukawin kwa tiatia maji kuumia kwa Tom kwa sasa gunners tupo katika wakati mgumu.




naona mabingwa wa Epl na Europa taratibu akili zinaanza kurudi? Naona wapinzani hasa manyumbu mnaumia saana sisi kushinda mechi zetu 4 za kwanza na kuongoza ligi..naona mabingwa wa Epl na Europa taratibu akili zinaanza kurudi?
Tuliwaambia mapema kabisa kua hii ligi ni ndefu sana, mechi 38 inahitaji watu wenye pumzi ya kutosha.
Sikweli, mech na Fulham ,Fulham kakaa nyuma dk zoteNauona mwisho wetu wakufanya vizuri umefika sasa Tom Partey pengo lake halizibiki kwa sasa huo ndio ukweli games zinazofuata bila Partey tutadondosha point nyingi angalia game ya fulham pengo la Tom limeonekana almanusura tupoteze point tukawin kwa tiatia maji kuumia kwa Tom kwa sasa gunners tupo katika wakati mgumu.
Watu wamevunja daraja na mendy kumbe ni kiaziSidhani naona a
Sidhani sababu naona arteta anapenda kutumia beki mmoja wa kati anaetumia mguu wa kushoto.
Binafsi napenda nami nione collabo la saliba ft ben MWEUPE