Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Rodri on half-time against @CPFC:

"Sometimes it is not about tactics, it is about talking with the lads, being patient. Sometimes you want to score the second before the first. I was saying to the lads that we just needed one goal to be in the game and that's what happened."

Rodrigo anaongea kuhusu kuwa patient, haya mambo naandikaga humu kuhusu Partey.
 
Keep an eye on top talent Mychajlo Mudryk. Everton had €30m verbal proposal turned down by Shakhtar Donetsk last week. #EFC

Arsenal have explored conditions of Mudryk deal few days ago — but just on player side. Many clubs want him, one to watch until the end. #AFC
Dogo anajua balaa

Ila arsenal lazima washushe mtu mmoja
 
Kuna tetes za mbali za zaha kwenda arsenal au Chelsea dk za mwisho

HUYU jamaa tukimpata nitafurahi

Namkubali toka yupo palace ile mara ya Kwanza , kipind Wenger kamtaka akiwa championship ,akaenda man u akawa flop

Akija Sasa hivi itakuwa balaa

Inasemekana hata kesho anaweza asiwepo ,

HUYU jamaa akisikiaga arsenal tunamtaka huwa anachanganyikiwa kabisa

Inasemekana anajiandaa ku hold request ya kuondoka
 
Hakuna aliyemponda but fans wanaamini this season hizo mistake aachane nazo aongeze concentration muda wote akiwa uwanjani sio mara moja kufanya mistake ambazo zilikuwa cleared na wenzake hakuna anayemponda but ukweli lazima aambiwe na umemfikia imagine jana angefanya mistake hiyo dk 80 si ingekula kwetu?at least alifanya dk 56 so time ya kurecover ikapatikana

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
yaaap jamaa inabdi apunguze izo mistake kbsa upo peke yko na mpira afu watetemeka tetemeka badala ya kuachia mpira kwa wenzako
 
Kwani Partey tangu aje Arsenal,Timu haijawahi kufungwa na yeye akiwepo uwanjani?mbona mnamkweza kana kwamba bila yeye Timu haiendi!!kimsingi Elneny alifanya kazi nzuri tu na hilo pengo kubwa la Partey labda uliliona wewe!!!hebu acha kumfanya Partey kama Mungu wa Arsenal,huo ni ushabiki maandazi
Kaka kwani brazil Ya pele haijawhi kufungwa? Ya kina zico, Romario, vipi kina dinho na de lima?
Barca ya messi, xavi na iniesta je,?
Vipi hao hawakuwa ni muhimili wa timu!?
 
Kuna tetes za mbali za zaha kwenda arsenal au Chelsea dk za mwisho

HUYU jamaa tukimpata nitafurahi

Namkubali toka yupo palace ile mara ya Kwanza , kipind Wenger kamtaka akiwa championship ,akaenda man u akawa flop

Akija Sasa hivi itakuwa balaa

Inasemekana hata kesho anaweza asiwepo ,

HUYU jamaa akisikiaga arsenal tunamtaka huwa anachanganyikiwa kabisa

Inasemekana anajiandaa ku hold request ya kuondoka
Binafsi ninawish mno, Zaha & St.maximin nawakubali.
 
lazima nyumbu akae, tunaomba ashinde vs Leicester city ili wajiamini zaidi
Japo Leicester city game zote walizocheza, nimeziangalia.
Wamepiga mpira wa kiwango duni sana

Game na Chelsea,
Ndio Leicester nikasema hawa washakua wapuuzi

Ila sitashangaa wakimgeukia nyumbu
 
Gutted for Mo Elneny, a player that always gives 100%. Wishing you a very speedy recovery @ElNennY

Mpe Nafas usimpe hatalalamika ,atapiga kazi bila shida

Now Arsenal wanaangalia UWEZEKANO wakushusha kiungo mpya

Je atakuwa Nan?
 
Japo Leicester city game zote walizocheza, nimeziangalia.
Wamepiga mpira wa kiwango duni sana

Game na Chelsea,
Ndio Leicester nikasema hawa washakua wapuuzi

Ila sitashangaa wakimgeukia nyumbu
Cry
20220830_132733.jpg
 
Gutted for Mo Elneny, a player that always gives 100%. Wishing you a very speedy recovery @ElNennY

Mpe Nafas usimpe hatalalamika ,atapiga kazi bila shida

Now Arsenal wanaangalia UWEZEKANO wakushusha kiungo mpya

Je atakuwa Nan?
Arthur Melo au kiungo gan anapatikana sokoni kwa sasa?
Ceicedo
 
Gutted for Mo Elneny, a player that always gives 100%. Wishing you a very speedy recovery @ElNennY

Mpe Nafas usimpe hatalalamika ,atapiga kazi bila shida

Now Arsenal wanaangalia UWEZEKANO wakushusha kiungo mpya

Je atakuwa Nan?
Hili ni tatizo sugu la hii timu, just 4 games majeruhi yameanza.
 
Arsenal itashinda vikombe vya Champions league mara nyingi kwa hii miaka kumi ijayo kuliko timu yoyote, na hutoandika tena huu upuuzi, mark my words.

Nimecheka mpaka watu wamenishangaa🤣🙌
Mungu aendelee kutupa uhai tushuhudie huu muujiza
 
Back
Top Bottom