Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

CAPTAIN MARTIN
IMG_20220828_115113.jpg
 
Sijakataa Magalhaes Kuna Muda huwa anajisahau hata Jana alikuwa free akzingua, lkn tunaponda sana,hivi tumesahau tulikuwa na. Kina mustafi kila baada ya mech 2 anatuuza

Magalhaes kazidiwa umakini na Saliba ,

Hata white mwenyewe hamkuti Saliba

But Magalhaes sio mbovu kihivyo, ana mazuri mengi kuliko mabaya , ndio maana pale Emirates mashabiki wamekuwa wanatia moyo wachezaji hata wanapokosea ,sababu wale sio mashine ,angekuwa anafanya makosa kila baada ya mech 2 Kama enz za kina mustafi ,Kwanza Arteta asingekubali aendelee kucheza pale

Tuwasapot wachezaji wetu hata nyakati ngumu ,

Kakosea ,kaenda kufunga goli , tuangalie mazuri pia

Now tofocus mech ijayo na Astonvilla jtano

Utaratibu Ni 3 points
Hakuna aliyemponda but fans wanaamini this season hizo mistake aachane nazo aongeze concentration muda wote akiwa uwanjani sio mara moja kufanya mistake ambazo zilikuwa cleared na wenzake hakuna anayemponda but ukweli lazima aambiwe na umemfikia imagine jana angefanya mistake hiyo dk 80 si ingekula kwetu?

At least alifanya dk 56 so time ya kurecover ikapatikana

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Hakuna aliyemponda but fans wanaamini this season hizo mistake aachane nazo aongeze concentration muda wote akiwa uwanjani sio mara moja kufanya mistake ambazo zilikuwa cleared na wenzake hakuna anayemponda but ukweli lazima aambiwe na umemfikia imagine jana angefanya mistake hiyo dk 80 si ingekula kwetu?at least alifanya dk 56 so time ya kurecover ikapatikana

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Upo sahihi.

Watu wengi wamelipoint hilo jana.

Nafikiri mechi yetu dhidi ya Bournemouth alirudishiwa mpira akaupiga kichwa ila haukwenda mbali, nilikua na washkaji nikasema Magalhaes hua ana maboko ya mtindo huu.

So kuhusu kuchoma ni kweli. Kuhusu yeye kua beki mzuri ni kweli pia.

Na sisi mashabiki tunatamani ajirekebishe. Siku wakiwekwa Saliba na White inawezekana Magalhaes akajikuta anastruggle kurudi kikosini.
 
Eti Nyie matakataka ..eti wananzengo wanasema nanyi muna Jambo lenu msimu huu ..Ni kweli nyie arse8 wazee wa kupakuana muna Jambo leenu huu msimu?? Mimi nawahakikishia musimu huu mukifaiti Sana mutabeba karabao na kupata at least nafasi ya nne.
Hivi Magure mshamchukua? Nawaombea sana mumsajili Captain Maguire.
 
Upo sahihi.

Watu wengi wamelipoint hilo jana.

Nafikiri mechi yetu dhidi ya Bournemouth alirudishiwa mpira akaupiga kichwa ila haukwenda mbali, nilikua na washkaji nikasema Magalhaes hua ana maboko ya mtindo huu.

So kuhusu kuchoma ni kweli. Kuhusu yeye kua beki mzuri ni kweli pia.

Na sisi mashabiki tunatamani ajirekebishe. Siku wakiwekwa Saliba na White inawezekana Magalhaes akajikuta anastruggle kurudi kikosini.
Magalhaes is not good with the ball, always yupo underpressure, ukitaka kuifunga Arsenal mtarget magalhaes, unampress relentless lazima atakupa goli, kinachompa nafasi ni kwamba he's the Only left footed CB we have, naamini kuna siku Saliba atacheza LCB, White RCB Tomiyasu RB kama usemavyo.
 
Ana last ditch tackles nzuri ila shida ndiyo utulivu
 
Ana last ditch tackles nzuri ila shida ndiyo utulivu
Off the ball anajitahidi but his space management bado tatizo, tulibishana hapa toka last season, with the ball fella he is not technically good enough, Saliba always anacheza quality balls to him at least inampunguzia flaws, Gabriel anaporeceive utaona often times anakuwa underpressure, Arsenal inahitaji fluidity & Dynamism that's how Arteta wants the team to play.

Jana alikuwa ana time & space kufanya decision but eventually he got caught, "ooh ni kawaida bro", wtf!
 
🗣Bukayo Saka akijibu baada ya ushindi wa #Arsenal dhidi ya Fulham:

"Sote tuna njaa ya kushinda kila mchezo. Tutaendelea hivi kwa msimu mzima. Tunajua jinsi Ligi Kuu ilivyo ngumu. Tunaangazia mchezo unaofuata, mchezo unaofuata na unaofuata." 💯
 
Mtrovic hua namkubali ila sikujua Kama n mpuuz hiv, lile goli la ode unasemaje bahat!

Na mbona lake la sandakalawe amina alisemi mpuuz kabisa
FB_IMG_16617043648380583.jpg
 
Back
Top Bottom