Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Jana niliandika tukipata points 3 tushukuru sana

Nadhani pengo la partey limeoneka vizuri sana
Sasa ili swala tumuachie mwenyewe arteta maana ameona tofauti akiwepo partey na asipowepo
 
Idadi ya ushindi kwenye mechi 100 za kwanza za ligi kwa makocha wa Arsenal :

Arsène Wenger - 54
Mikel Arteta - 53
George Graham - 49
Tom Whittaker - 49
George Allison - 45
Herbert Chapman - 45
 
Kuna habari kwamba bodi imemwambia Arteta hakutakuwa na usajiri mwingine dirisha hili ni za kweli?

Inaweza kuwa sahihi, unajua acquisition za mwisho wa dirisha, bei itakuwa imesimama.
Kumbuka owners/Board wanalenga kupata economic success na Mungu akipenda sporting success.
 
Daktari wa klabu ya Arsenal Gary Driscoll amesema Zinchenko na Partey walizuiliwa kucheza kama tahadhari watarejea mapema.
 
Some people were waiting for Gabriel Magalhaes to make a mistake to say “I told you so” yesterday. Very bizarre thing. Seem some suggesting that Martinelli shouldn’t be taking our set pieces, bar Fulham he’s been superb in that department too.
 
Magalhaes akimjibu hater
Screenshot_20220828-091051.png
 
Huyu kila mwaka lazima afanye makosa kama hayo ya kujirudia, ataenda game 10 kafanya poa ila ndan ya game 20 lazima atafanya ujinga tena huyu habadiliki miaka yote
Gabriel ni defender mzuri sana but ana weakness kubwa akikutana na mafoward wanaotumia nguvu kubwa sipati picha akikutana na Halaand itakuwaje?

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
🚨 Arsenal club doctor Gary Driscoll said Zinchenko and Partey were held back as a precaution and should be back soon. Massive relief 😍
IMG_20220828_104622.jpg
 
Jana niliandika tukipata points 3 tushukuru sana

Nadhani pengo la partey limeoneka vizuri sana
Sasa ili swala tumuachie mwenyewe arteta maana ameona tofauti akiwepo partey na asipowepo
Kwani Partey tangu aje Arsenal,Timu haijawahi kufungwa na yeye akiwepo uwanjani?mbona mnamkweza kana kwamba bila yeye Timu haiendi!!kimsingi Elneny alifanya kazi nzuri tu na hilo pengo kubwa la Partey labda uliliona wewe!!!hebu acha kumfanya Partey kama Mungu wa Arsenal,huo ni ushabiki maandazi
 
Back
Top Bottom