42774277
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 6,836
- 8,874
Na haitoifanya AssAnal kubeba kombe la UEFA.Haiondoi Chelsea Ni klabu ndogo
Na haitoifanya AssAnal kubeba kombe la UEFA.Haiondoi Chelsea Ni klabu ndogo
Daaaah kuiacha hii timu ni ktu ambacho hakiwezekani kbsaTunaendelea kusuka timu nzuri, yenye kiwango, angalia wastani wa Umri wa Wachezaji wetu tulionao. We have bright future with those kids Infront.
Pamoja na Walimu wengi waliopita pale, ila Mzee Wenger alitu inspire wengi kushabikia hii timu. Nimeacha kutumia Ulabu enzi za Ujana but sio hii timu.
Kuna wakati nimewahi kujaribu kuiacha lakini mara zote nimeshindwa, Nahisi mpaka kifo kitutenganishe 🤗
Mitrovic unaambiwa leo ana fullhamu ya kubonyeza button.Arsenyeto vipiiii....mshaosha vizuri pussy kwa ajili ya mitrovic??
Hawataki kutuongezea KdB Hawa jamaa? 😀😀
Fulhamu leo wanalamba Asali.Ila Fulham wanaweza kutushangaza Kwa kiwango bora...
Huyo mshamba tu, ana stress ya kimaisha.Haha, mkuu unasumbuka sana. Ila una vimatusi vya rejareja sana.
Siku arteta akiondoka viera anachukua timuPL kitu kingine, man City anachezea 2 huko, ila Vieira is a great coach.
Nilikua nimeingia humu kuandika hiki, jamaa n nomaSiku arteta akiondoka viera anachukua timu
I wish the same, Vieira anaonekana kocha mzuri sana.Siku arteta akiondoka viera anachukua timu
Hata bench hayupo! Imeshakuwa shida tayari...Partey not in the line up, what is wrong?
Hata bench hayupo! Imeshakuwa shida tayari...