Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,396
Wakubwa woote wameshinda, hii game itakuwa ngumu kwetu, kwa zile imani zangu za kubetia.
Hakuna mechi rahisi, ushindi ni lazima, I believe early results will inspire the boys
Wakubwa woote wameshinda, hii game itakuwa ngumu kwetu, kwa zile imani zangu za kubetia.
That's not the point, najua Moh'd can do the job. Shida ni kama huyu jamaa keshaanza pancha mechi ya nne tu.Too early to be pessimistic, I have faith in Elneny
Ndio asajiliwe mtu mapemaThat's not the point, najua Moh'd can do the job. Shida ni kama huyu jamaa keshaanza pancha mechi ya nne tu.
That's not the point, najua Moh'd can do the job. Shida ni kama huyu jamaa keshaanza pancha mechi ya nne tu.
Skizeni nyie matakataka ..tunawaesabia mechi. Kumi amfikishi mutaanza poteana humu.
Could be a disciplinary issue, because he is not on the injury list
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] AsaniWali tayari washaanza kuweweseka.Bila defensive midfielder kariba ya partey, tutakuja kushikana uchawi humu
Leo naona game ishakua ngum
Hatuta cheza mpira mzuri kama game iliyopita
Tukipata point 3 tushukuru sana
Ingawa nimesikia mtangazaji anasema Amepata majeraha Jana Ijumaa wakati wa training sessionCould be a disciplinary issue, because he is not on the injury list
Arsenyeto tunaongoza ngapi