Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mikel Arteta on Zinchenko signing: "I'm very happy. It's the position we wanted to strengthen.

His main position is a LEFT-BACK! In formation we have, he can alter and occupy different spaces on the pitch." [Hayters TV]
 
Attachments

  • IMG_20220723_033521.jpg
    IMG_20220723_033521.jpg
    360.6 KB · Views: 21
Arsenal owner Josh Kroenke, Vinai Venkatesham
Chief Executive Officer of Arsenal, Mikel Arteta and Edu Gaspar and Tim lewis with Zinchenko
 
Attachments

  • IMG_20220723_034130.jpg
    IMG_20220723_034130.jpg
    39.4 KB · Views: 23
❓ Who is Cody Gakpo ❓

👤 23 years old
🇳🇱 Dutch international
💰 Value via TransferMarkt - €30M

12 goals and 13 assists from 27 Eredivise games in 2021/22. Gakpo is 6’1 and powerful, likes to cut inside and predominantly plays on the left wing.

Arsenal’s new winger? 🤔🔴
 
Attachments

  • IMG_20220723_034323.jpg
    IMG_20220723_034323.jpg
    119 KB · Views: 20
Zinchenko: "This is a boyhood dream come true, because I was a massive fan when I was a kid. Since Henry and Fabregas, I was just enjoying watching those games, that Arsenal. And obviously I started to love this club, so I am so excited to play for this amazing club."
 
Attachments

  • IMG_20220723_034743.jpg
    IMG_20220723_034743.jpg
    177.9 KB · Views: 22
Oleksandr Zinchenko on putting the Arsenal shirt on & meeting his team-mates:

“It’s unbelievable, honestly, like I said, it’s a dream come true & since I was a kid I couldn’t even dream about it, but now it’s time, so I’m so happy.” #afc
 
🚨 @FabrizioRomano on Tielemans: “Arsenal is his priority. I would say it’s a clear choice because the player would love to move, he would love to join Arsenal, but it’s up to Arsenal to submit a proposal & go strong for him. He’s waiting for Arsenal since April.” [@QueGolazoPod]
 
Attachments

  • IMG_20220723_035438.jpg
    IMG_20220723_035438.jpg
    53.5 KB · Views: 20
🚨BREAKING: Arsenal have offered Bukayo Saka a new long-term contract that would see him become one of the club’s best paid players.

The new contract offer on the table is more than £140k-per-week.

[@SamiMokbel81_DM] #afc
 
Attachments

  • IMG_20220723_040116.jpg
    IMG_20220723_040116.jpg
    301 KB · Views: 19
Kusema Ukweli

Huu Usajili wa Huyu Jamaa umenikosha Vibaya mnoo yan Mojawapo ya Sajili za maana na zenye Tija kwenye team yetu ni huu

Mchezaji ni mshabiki wa Arsenal tangu Utotoni dogo ni mpambanaji wa viwango vya juu anacheza nafasi tofaut tofauti Uwanjan tena kwa ufasaha sio kubahatisha Kuanzia Left back mpaka Midfielder...

Inawezekana Kabisa Kumkosa Lisandro Martinez kwetu imekuwa na faida zaidi Sababu Lisandro anacheza Vizur Zaidi kwenye Centre Back na Niliamsikia Kocha Wake akisema Akicheza kwenye Kiungo anakosa mikimbio Sahihi ya Kiungo na kwenye centre back kimo Chake sio cha kuridhisha ingawa haikuwa sababu za sisi kumuacha ni dau lake lilikuwa kubwa

Moyoni Mwangu Naamini Kwenye Kiungo Pale Tukijaza box moja tuuu akija Tielemans na RW wa kumsaidia Saka, Basi kaz kwa Kocha na Benchi lake

Kwenye Hii Pre season Nimeona Vitu Vingi Sana Vizur Kwenye team yetu na naamini na haya Maingizo mapya Team itakuwa Sawa
 
Attachments

  • IMG_20220723_035740.jpg
    IMG_20220723_035740.jpg
    128.3 KB · Views: 20
🔴| NI JUU YA ARSENAL KWA TIELEMANS..

Kwa mujibu wa taarifa, Kiungo wa Leicester City Youri Tielemans kipaumbele chake ni Arsenal na angependelea kujiunga na klabu hiyo ya Emirates.

Leicester City wameripotiwa kutaka kiasi cha Pauni milioni 25-30 kwa kiungo huyo wa kimataifa wa Ubelgiji🇧🇪, lakini bado hawajapokea ofa yoyote mpaka sasa.

Sasa ni juu ya Arsenal kuwasilisha pendekezo kwa ajili yake (Tielemans), kwa sababu anaisubiri Arsenal tangu Aprili.

Na amekuwa akihitaji kucheza Arsenal
 
Baada ya miaka tatu tunarud kwenye EPL ya zamani ambapo timu kubwa england ilikuw ni man u, arsenal, chelsea na liver na city watagombia huko.....NATABIRI enzi za WENGER na FERG timu zao zinarud

Erik Ten alisema kuhusu live na city yy haogopi na anawaheshimu but main word "ERA COMES TO AN END" Erik Ten Hag
 
🚨 Arsenal wapo katika mipango ya kusajili beki mpya wa kati wa kushoto(LCB), kiungo (CM)na winga(RW) na wachezaji wengi wataondoka katika klabu hivi karibuni. [@MailSport] 🔴⚪️
tutamuuza gabriel ili aje huyo beki?
 
🔴| NI JUU YA ARSENAL KWA TIELEMANS..

Kwa mujibu wa taarifa, Kiungo wa Leicester City Youri Tielemans kipaumbele chake ni Arsenal na angependelea kujiunga na klabu hiyo ya Emirates.

Leicester City wameripotiwa kutaka kiasi cha Pauni milioni 25-30 kwa kiungo huyo wa kimataifa wa Ubelgiji🇧🇪, lakini bado hawajapokea ofa yoyote mpaka sasa.

Sasa ni juu ya Arsenal kuwasilisha pendekezo kwa ajili yake (Tielemans), kwa sababu anaisubiri Arsenal tangu Aprili.

Na amekuwa akihitaji kucheza Arsenal

Je atakuja kupambania namba na xhaka pembeni ya partey? Huyu si anapendelea namba 8 ya upande wa kulia zaidi kwa timu zinazocheza na namba 8 wawili na 6 mmoja? Na hapo tuna ode na fabio tayari? Zinchenko anaweza kucheza namba 8 wa kushoto akimtoa xhaka kama tierney akiwa fit. Swali ni je tunamhitaji tielemans au ni kujaza team na quality players huku tukipunguza akina nelson na niles? Maana naona mbadala wa partey ndio nafasi ya muhimu kutafuta. Na right wing pia akiondoka pepe ila martinelli anafaa kwa hilo
 
Baada ya miaka tatu tunarud kwenye EPL ya zamani ambapo timu kubwa england ilikuw ni man u, arsenal, chelsea na liver na city watagombia huko.....NATABIRI enzi za WENGER na FERG timu zao zinarud

Erik Ten alisema kuhusu live na city yy haogopi na anawaheshimu but main word "ERA COMES TO AN END" Erik Ten Hag
Sababu gani inakufanya uone City hatoendelea kushine over the next three years?
 
Je atakuja kupambania namba na xhaka pembeni ya partey? Huyu si anapendelea namba 8 ya upande wa kulia zaidi kwa timu zinazocheza na namba 8 wawili na 6 mmoja? Na hapo tuna ode na fabio tayari? Zinchenko anaweza kucheza namba 8 wa kushoto akimtoa xhaka kama tierney akiwa fit. Swali ni je tunamhitaji tielemans au ni kujaza team na quality players huku tukipunguza akina nelson na niles? Maana naona mbadala wa partey ndio nafasi ya muhimu kutafuta. Na right wing pia akiondoka pepe ila martinelli anafaa kwa hilo
Tielemans anacheza LCM mkuu. Mbadala wa Partey nakubaliana nawe coz nimeona Lokonga akichezeshwa LCM in preseason, labda akishift pale itaachia nafasi kwa mchezaji mpya kusaidiana majukumu na Partey. All in all, Tielemans ni muhimu kuwa naye haijalishi nafasi yake yupo Odegaard au nani, Youri Tielemans huu utakuwa usajili wa karne.
 
🔴| NI JUU YA ARSENAL KWA TIELEMANS..

Kwa mujibu wa taarifa, Kiungo wa Leicester City Youri Tielemans kipaumbele chake ni Arsenal na angependelea kujiunga na klabu hiyo ya Emirates.

Leicester City wameripotiwa kutaka kiasi cha Pauni milioni 25-30 kwa kiungo huyo wa kimataifa wa Ubelgiji🇧🇪, lakini bado hawajapokea ofa yoyote mpaka sasa.

Sasa ni juu ya Arsenal kuwasilisha pendekezo kwa ajili yake (Tielemans), kwa sababu anaisubiri Arsenal tangu Aprili.

Na amekuwa akihitaji kucheza Arsenal
au arteta hana uitaji nae since april aseeee tunaweza kunyanganywa tonge mdomoni
 
Back
Top Bottom