Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Na wasiwasi una tatizo la afya ya akili, au una overthink Sana imepekekea matatizo,

Binafsi najitoa huu mjadala nakuachia endelea na makaveli10 Labda mtawezana,
Ingawa mimi ni shabiki wa Nyumbu FC ila hua nakukubali sana hamis77 kwenye chambuzi zako za soka, pia hauko bias unapoelezea au kutoa ushauri katika uchambuzi hata kama unazungumzia timu pinzani, pia kikubwa unajitahidi sana kutumia lugha ya staha, sijawahi kuona kutoka kwako mitusi ya ajabu ajabu (hapa nazungumzia matusi sio ule utani wetu wa kishabiki ambao unachangamsha jukwaa)
Kikubwa zaidi unapoona unabishana na mtu ambae sio muelewa hua unajitoa kwenye mjadala kiustaarabu ili kuepesha kuchafua hali ya hewa.
Natamani kwenye hili jukwaa members wote wa Arsenal wangekua kama wewe, ila tatizo humu wengi wamekosa malezi ya pande mbili jambo dogo tu la kuelewena katika kutokukubaliana wanaanza kuporomosha matusi machafu ya nguoni.
Hongera sana hamis77 usiache kupita kwenye jukwaa letu la Manchester United kuchangia mawili matatu tufaidike na busara zako.
 
Ingawa mimi ni shabiki wa Nyumbu FC ila hua nakukubali sana hamis77 kwenye chambuzi zako za soka pia hauko bias unapelezea au kutoa ushauri katika uchambuzi hata kama unazungumzia timu pinzani, pia kikubwa unajitahidi sana kutumia lugha ya staha sijawahi kuona kutoka kwako mitusi ya ajabu ajabu (hapa nazungumzia matusi sio ule utani wetu wa kishabiki ambao unachangamsha jukwaa)
Kikubwa zaidi unapoona unajibishana na mtu ambae sio muelewa hua unajitoa kwenye mjadala kiustaarabu ili kuepesha kuchafua hali ya hewa.
Natamani kwenye hili jukwaa members wote wa Arsenal wangekua kama wewe ila tatizo humu wengi wamekosa malezi ya pande mbili jambo dogo tu la kuelewena katika kutokukubaliana wanaanza kuporomosha matusi machafu ya nguoni.
Hongera sana hamis77 usiache kupita kwenye jukwaa letu la Manchester United kuchangia mawili matatu tufaidike na busara zako.
Shukran ndugu, huu mpira unatukutanisha humu , kwanini tutukanane, huwez amini kupitia huu mpira nimesaidiwa mambo mengi na fans mbalimbali , ikiwepo kazi
 
Hadi hapa naamini na nyie wenzangu mmeona lugha ya huyu mwamba. Nilishashindwana nae mda sana, ukijibu unaambiwa hujui kitu "mofo", au wewe ni "amacha" huna lolote, mimi nikaona sina sababu ya kufanya argument na mtu yupo vulgar na haheshimu mawazo ya wengine mda wote.
I'm your redpill na unathibitisha kuwa Misery loves company!

I've noticed something, losers dont accept the truth even if you say it allday, they dont want to Learn shit, they only want to defend their EGOS.

Utasikia "he is too arrogant"

" tuna tofautiana mtazamo blah blah blah"

mpira hauna mtazamao, kama hujui just admit that ujifunze. Mpira sio politics kusema kuna Democratic & Republican,

An inverted full back / isolated winger sounds the same iwe kwa Thomas Tuchel/ klopp/ Arteta/ pep, hakuna suala la mtazamo, sema sijui kaa kimya inatosha, kutetea kitu usichokijua you're spoiling other people's mind.
 
Yatosha kaka
 
Mtu usiyejua hata Xhaka anacheza role gani unataka tuArgue nini? Always nikiwaste energy then nikagundua you're just a fool huwa nakudharau mno.
Leta mzungu, leta mzungu, anajua huyo, anafunga huyo, balaaa

Role ya xhaka ni ipi, na ilikuwa ipi? Nitofautishie baina ya role na position.
 
Arsenal shida haipo kwa Partey hata kidogo na sijawahi mtilia shaka huyu na Arsenal ilikosa top 4 baada ya partey kuwa injured so roho ya Arsenal ipo kwa Partey for now CASE CLOSED!

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Ok, do you think why the fvck cant Arsenal control games enough with the ball like city/ liverpool does while there's qualitative & tactical balance all over the pitch?
 
Arsenal shida haipo kwa Partey hata kidogo na sijawahi mtilia shaka huyu na Arsenal ilikosa top 4 baada ya partey kuwa injured so roho ya Arsenal ipo kwa Partey for now CASE CLOSED!

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Arsenal ilikosa top four sio kwamba kocha alikuwa mbovu, mpanga koni wa pep asiye na experience? admit that you're wrong
 
kwako wakuu will jr,makavell 10,hamiss 77 aroun arsenal and the rest,mpira sio science kwamba ni anatomically defined bali mpira ni ART and its personal perception based.
kila mtu humu kuna namna anavyotazama na kutafsirri mpira.TUHESHIMIANE kwa pamoja,kuna wakati katika maisha mnakubaliana kutokukubaliana katika mitazamo yenu na maisha yanaendelea kama kawaida.Inahuzunisha na kufikirisha tunapoanza kukejeliana na kutukana.thats not sport civilization point of view.
 
Baada ya kufatilia malumbano ya hoja
Hasa text za Will Jr nikijitahidi kusoma line after line
Nimegundua kwamba mmepisha sehemu ndogo tu

Ipo hivi, partey ni anchor, kama uti wa mgongo pale arsenal
Hili wote mmelikubali akiwemo willjr

But how come, tunajikuta tupo kwenye high pressure ata kama tumetangulia kwa goals, mfano game ya Crystal palace?

Ilibid tukiwa tushaweka goals kadhaa, tuweke mpira chini, zipigwe sambusa
Wakijichanganya mtu anachomoka kambani... Mpira uende hivyo

Will Jr mtazamo wako mzuri sana
But unachozungumzia ni responsibility ya whole team
Sio kazi ya mtu mmoja. Anamuonea tu partey

Partey kazi yake kuhakikisha supply ya mipira kutoka nyumba kwenda mbele ipo wakati wote

Kuwin mipira

Kutibua mipango ya wapinzani,

yeye akipata Mali ataachia, kwenye nafasi atajaribu
Kutaka partey awe na anao anao, mwezi wa 10 mbali partey anarudi wodin

Possession ball ni whole team,
Mpira ukiwa mguuni kwa saka/odegard/martinel/jesus/Rowe/xhaka
Yan ukiuchukua uwe umecheza faulo.

Kazi ya partey nimeelezea hapo juu na ndio mahitaji ya arteta
Kuhusu possession ni team nzima
 
Kwa maelezo yako naamini sie wengine tumekuelewa kwa sababu ulichoongea wewe ndio kile kile ambacho wanasema kina Hamisi, ila trust me nakwambia kuwa jamaa hawezi kuwa kakuelewa labda aamue tu kupiga kimya...!

Yeye amebase na point ya kuwa partey hana IQ ndomana wadau wengine wakasema kama partey hana IQ basi Mctominay atakuwa hana ubongo kabisa coz hoja yake ya IQ haimake sense

so anachoangalia ndugu yetu sio kwamba Partey anafanikisha majukumu yake Kwa asilimia ngapi awapo uwanjani bali yeye anachotaka ni IQ utadhani uwanjani ni sehemu ya kupima IQ za wachezaji au ni sehemu ya Kuangalia contribution zao kulingana na position and their roles

Issue ya control game sio ya mchezaji mmoja, ata huyo Sergio wa enzi za Barca hakuwa na hayo majukumu ya kucontrol game, alikuwa anatimiza majukumu yake the same way ambavyo Partey anatimiza, ila wakiamua kupossess ilikuwa ni issue ya team nzima

Tuliwahi kuwa na viungo kama kina coquelin ila tulikuwa tunaposess na kucontrol game ata kama tunafungwa kwakuwa kilichokuwa kinafanya hilo liwezekane ni system na sio IQ ya coquelin wala wilshere
 
Umeeleza vizuri sana... Yaani jamaa amekomaa kabisa na anataka kutulazimisha wote tuamini kuwa Partey Hana football IQ..
 
I'm your redpill na unathibitisha kuwa Misery loves company!

I've noticed something, losers dont accept the truth even if you say it allday, they dont want to Learn shit, they only want to defend their EGOS.

Utasikia "he is too arrogant"

" tuna tofautiana mtazamo blah blah blah"

mpira hauna mtazamao, kama hujui just admit that ujifunze. Mpira sio politics kusema kuna Democratic & Republican,

An inverted full back / isolated winger sounds the same iwe kwa Thomas Tuchel/ klopp/ Arteta/ pep, hakuna suala la mtazamo, sema sijui kaa kimya inatosha, kutetea kitu usichokijua you're spoiling other people's mind.
Kuna sehemu naelewa unachokisema kwa upande wako ila kusema mpira hauna mtizamo unakosea na sio sahihi. Mpira sio kanuni za hisabati wala fizikia kwamba lzm utumie kanuni fulani kupata majibu.

Mpira una mitizamo tofauti ndio maana hapa kuna mjadala juu ya Partey kwa jinsi unavyomuona na unavyofikiri yeye afanye lkn pia kuna mwingine anaona na kufikiri kuwa Partey yuko sahihi kabisa. Hivyo usije kusema kuendelea kusema kwamba mpira hauna mtizamo wakati kila kocha anamtumia mchezaji kwa namna anavyoona ni sahihi kwake kumtumia.

Nilichokuelewa ni kwamba wewe unaona kama timu inaongoza na inataka kuendelea kudhibiti au kutawala mchezo basi hakuna haja ya Partey kushindwa kukaa na mpira. Nimekulewa kwa vile ndo aina ya mpira unaoupenda na kuufurahia.
 
Baada ya kufatilia malumbano ya hoja
Hasa text za Will Jr nikijitahidi kusoma line after line
Nimegundua kwamba mmepisha sehemu ndogo tu

Ipo hivi, partey ni anchor, kama uti wa mgongo pale arsenal
Hili wote mmelikubali akiwemo willjr

But how come, tunajikuta tupo kwenye high pressure ata kama tumetangulia kwa goals, mfano game ya Crystal palace?

Ilibid tukiwa tushaweka goals kadhaa, tuweke mpira chini, zipigwe sambusa
Wakijichanganya mtu anachomoka kambani... Mpira uende hivyo

Will Jr mtazamo wako mzuri sana
But unachozungumzia ni responsibility ya whole team
Sio kazi ya mtu mmoja. Anamuonea tu partey

Partey kazi yake kuhakikisha supply ya mipira kutoka nyumba kwenda mbele ipo wakati wote

Kuwin mipira

Kutibua mipango ya wapinzani,

yeye akipata Mali ataachia, kwenye nafasi atajaribu
Kutaka partey awe na anao anao, mwezi wa 10 mbali partey anarudi wodin

Possession ball ni whole team,
Mpira ukiwa mguuni kwa saka/odegard/martinel/jesus/Rowe/xhaka
Yan ukiuchukua uwe umecheza faulo.

Kazi ya partey nimeelezea hapo juu na ndio mahitaji ya arteta
Kuhusu possession ni team nzima
I agree with you, however Partey should think of team's control, If a holding midfielder thinks of scoring goals all the time that means he lacks football IQ.

Arsenal tunakosa control sababu kubwa mbili,

1.without the ball tunakuwa Passive.

2.With the ball tuna aggressive profile zinazolack IQ. Profile that doesn't understand what the team needs. ( Partey/ Tavares)

Mwanzo nilikuwa naona shida hatukuwa na experience, ila sahivi sioni kama experience ni tatizo cuz Martinelli, Saka, Saliba, Gabriel wote wamekomaa sasa, ila kwanini hatucontrol games enough? Jibu ni psychological factor.
 
Kuna sehemu naelewa unachokisema kwa upande wako ila kusema mpira hauna mtizamo unakosea na sio sahihi. Mpira sio kanuni za hisabati wala fizikia kwamba lzm utumie kanuni fulani kupata majibu.

Mpira una mitizamo tofauti ndio maana hapa kuna mjadala juu ya Partey kwa jinsi unavyomuona na unavyofikiri yeye afanye lkn pia kuna mwingine anaona na kufikiri kuwa Partey yuko sahihi kabisa. Hivyo usije kusema kuendelea kusema kwamba mpira hauna mtizamo wakati kila kocha anamtumia mchezaji kwa namna anavyoona ni sahihi kwake kumtumia.

Nilichokuelewa ni kwamba wewe unaona kama timu inaongoza na inataka kuendelea kudhibiti au kutawala mchezo basi hakuna haja ya Partey kushindwa kukaa na mpira. Nimekulewa kwa vile ndo aina ya mpira unaoupenda na kuufurahia.
Sio kwamba mimi naona, strucure ndio inataka hivyo, this is positional play & we're possessional based team /we should dominate teams per 90. We've got the qualitative and tactical balance to do so.

Mpira wa siku hizi ni science, kuna format na structure kama hesabu, lazima uishi humo. Ndio maana unaona Pep analaumiwa timu yake inacheza kama maroboti cuz wanaexcute structure inataka nini, usije na mtazamo wako sijui mie naona vile sijui hivi, That's not how elite football works.
 
Back
Top Bottom