Wewe ndugu nimekuwa nakusoma humu michango yako miaka mingi , Ni mtu mstarabu Sana, sijui umepatwa na NiniHumu watu wanatabia za kike, mwanaume unafanya Gossiping, mwanaume unaleta kejeli za kike, mwanaume inabidi kuwa real, mtu akikuudhi na ukamuona mjinga mtukane live umuudhi ili ajifunze. Mimi nakutukana na nafanya hivyo for a purpose cuz nimekuona mjinga, i hope ujifunze next time and I dont care.
Sasa unakuta wanaume wawili watu wazima wanateta kwenye comment section 'huyo hivi, huyo vile' mara ooh una matatizo ya akili, that's feminine energy.
Usitoe kejeli kwa wanaume wanaojua vitu usivyovijua, just admit that i dont know this shit, learn.
Mbona hujamla yule mbaga chali angu hilo litimu limeshachoka.Alafu tukishamla Spurs utafuata wewe ..sisi ndio wababe wa LondOn...
#CFC![]()
huyu mwamba naamini tuliishia kuona 50% tu ya uwezo wake.Jackie was the best.. Majeraha ni kitu kibaya saana kwa wachezaji, naamini jack aliishia kwenye 60% mpaka 75 ya uwezo wake halisi.
Tabu na Wenger ilikuwa ni usajili tu. Hakuwaza kununua mchezaji ready made, yeye makinda au reject basi.acha wenger aitwe wenger the guy was insanely genius,mnafungwa mech lakini mashabiki mnatoka mioyo imetakata kwa kandanda safi
Tabu na Wenger ilikuwa ni usajili tu. Hakuwaza kununua mchezaji ready made, yeye makinda au reject basi.