Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

MR Partey is too aggressive, amefeli kuslow it simple,mwanzo nilidhani labda kwa kuwa anapewa majukumu mengi cuz timu ilikuwa hovyo sana ila sasa nadhani analack IQ, Pep hakuwa mjinga kumchukua Rodri akamuacha partey, niliona Arsenal inahusishwa na Tonali, km atasajiliwa nadhani over time anaweza kuchukua nafasi yake.

Kwa sasa shida yetu ni Mr Xhaka yupo slow mno, Gabriel magalhaes? fvck No.
Mjomba umeandika na akili yako au umelewa?
 
Arsenal fans chant:

🗣 “Youri Tielemans, we will see you next week.”

🗣️"Youri Tielemans, Tutaonana wiki ijayo"
 
Leo alipiga defensive ya hatari ila city ameitekenya hadi akalainika

Inabid tujipange, timu hizi za kukaa nyuma inabidi kila mtu ajishughulishe kutafuta goals
Odegard inabid ayatafute mashimo ambayo hayaonekani kwa macho ya kawaida

Jesus
Zinchenko
Partey
Martinel
Xhaka
Saliba
Saka
Wakipona sana 4
 
Haya ndiyo mambo yenyewe tunayoyapenda. Sawa tumefungwa mbili ila foxes hawana hamu na sisi kabisa. Wakisikia wanakutana na sisi wanakuja uwanjani kutimiza wajibu tu ila wanakuwa wanakuwa kitakachotokea. Siku hizi kukitana na foxes ni uhakika wa ushindi
 
Kwa kuangalia game ya palace na hii ya Leicester nimeona kuwa arteta anataka kumtumia Xhaka kama vile pep anavomtumia Gundogan

ila ugumu anaokutana nao kocha Kwa Xhaka ni mzito sana tofauti na Gundogan jamaa ana speed Sana, ni second kadhaa tu anatoka kwenye backline unamkuta kwenye opposition box

Kitendo cha zinny kuwa anaingia ndani kutengeneza double pivot na partey then Xhaka anaenda mbele ni the same na pep anavofanya Kwa Gundogan

Xhaka anakosa quality ya Gundogan Kwanza kwenye ufaster lakini pia kwenye kufanya maamuzi sahihi Kwa wakati sahihi anapokuwa karibu na lango la upinzani, Ila somehow anajitahidi na Hongera kwake kwani ana goal na Assist

kama Xhaka atashindwa totally kumaster vile Arteta anataka ni wazi anampa nafasi kocha kukomaa na tielemans maana wote tunajua vile jamaa Yuko Very Sharp compared na Xhaka
 
Nafurahi nikiona vitu kama hivi, sasa imagine Tielemans at Lcm & Mr Vieira Rcm, it's so so scary.
 
Back
Top Bottom